Recent content by jacksonEstate

  1. jacksonEstate

    niVizuri kutembea na MTU wa rafki ako

    Ahhhh unamsaidia tuu Kaka ako...... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. jacksonEstate

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Mwanamke akizaa anakuwa na akili ya maisha.....anajua kupata na kukosa... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. jacksonEstate

    Nafasi za kazi NBS

    Zipo kwenye jengo la Yanga pale Jangwani... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. jacksonEstate

    Kwanini wanaume wazuri hawajui mapenzi

    Mhhh inawezekana maana uhandsome sio kujua kumfikisha mtu kileleni au kumridhisha mwanamke..... Lakini Mahandsome wengi tunaangalia standard ya demu....kama ni ngalangala hatutoi hot love. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. jacksonEstate

    Natafuta Mchumba

    Huko chuoni hukuwaona......acha kujiendesha..
  6. jacksonEstate

    Wanaume kwanini hampo romantic?

    Njoo kwangu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. jacksonEstate

    Wenye uzoefu: Laki moja inatosha matumizi ya wiki moja?

    Acha ujinga wewe......Unahudumia na yéyé ana kiserengeti boys anakihudumia......Jiongezee. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. jacksonEstate

    Kisa nini? Macho kodo!?

    Jamani huyo ni Rais...achane masihara nae. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. jacksonEstate

    Jana nimekutana na Mama mkweli nliyemrushia Meseji ya Mapenzi

    Mhhhh wahenga wanasema "kunapofuka moshi kuna moto"... Kuwa makini la sivyo utalala na mama mkwe wako......Kumbuka binadamu hatujakamilika.. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. jacksonEstate

    nafasi za kazi....nafasi za kazi....!!!!!!

    viwandani,supermarket,migahawani,shell za oil,makampuni na taasisi....maduka ya dawa na maduka ya jumla...bars na nights clubs. wafanyakazi na wahudumu wanahitajika.... Piga 0753014359 kuwasiliana na Mwananchi na Mkombozi Agency.....
  11. jacksonEstate

    tecno 7C tablet....tecno 7C tablet....!!!!

    bei 130,000 call 0659999733 now.....Dar es salaam
  12. jacksonEstate

    Picha: Maonyesho makubwa ya kijeshi huko Korea Kaskazini, dadadeki

    uwezo wanao....ndio maana mpaka leo marekani inaogopa kuivamia kijeshi.......wana makombora yj nyukila kati ya 13 mpaka 30 hivi......wana ballistic missile za kutosha......
  13. jacksonEstate

    Kuwa na wapenzi wawili ni sawa?

    Yuko Pluto huyooooo........mwanga wa jua wanapata Mara 1 katika miaka 10.
  14. jacksonEstate

    Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!

    Duuuuhhhh......kwa kuwa akili yake inataka bwana...hata aje sponsor ni sawa na bure......Willingness ya kusoma hana tena...
  15. jacksonEstate

    Natafuta nyumba

    Kimara suka unakaa....master za kutosha..
Back
Top Bottom