mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 396
asante mkuu
asante mkuu
Hizo laku tatu kakudanganya naniHii kazi nilijua itakuwa majanga tu. Kwa gombania goli ya namna hii kudadadeki ni dhahiri kuna wengi watalia.
Hela yenyewe laki 3 kwa mwezi ptuh...
Wakati angekuwa Walter Reed hapo huo mshahara ni ndani ya siku 4 tu unahesabu ya laki nne kasoro. Huku na huku mzee John Hopkins akikupa mchongo huo huo ndani ya siku tano tu umekunja hela ya hao NBS ya mwezi mzima. Hapo hamna la zaidi ya unyonyaji tu.
Kazi hizo wanazo watu wa NGO bhana sio hao mafala!
Nikweli kabisa mimi niliwahi piga hizi kazi kwenye NGO's za kimataifa zinazofanyakazi hapa nchini maslahi yake ni mazuri sanaHii kazi nilijua itakuwa majanga tu. Kwa gombania goli ya namna hii kudadadeki ni dhahiri kuna wengi watalia.
Hela yenyewe laki 3 kwa mwezi ptuh...
Wakati angekuwa Walter Reed hapo huo mshahara ni ndani ya siku 4 tu unahesabu ya laki nne kasoro. Huku na huku mzee John Hopkins akikupa mchongo huo huo ndani ya siku tano tu umekunja hela ya hao NBS ya mwezi mzima. Hapo hamna la zaidi ya unyonyaji tu.
Kazi hizo wanazo watu wa NGO bhana sio hao mafala!
Kwani wanatoa bei gani mkuu?Hizo laku tatu kakudanganya nani
Yeah mashavu yapo kwa NGO'sNikweli kabisa mimi niliwahi piga hizi kazi kwenye NGO's za kimataifa zinazofanyakazi hapa nchini maslahi yake ni mazuri sana
Kwa hiyo hao waliosoma hicho chuo ndio watasambazwa nchi nzima,,maana sidhan kama wengi wamesoma hicho chuoHawakutambui mkuu, yani wale jamaa wanataka wakitangaze chuo chao kupitia nafasi za kazi.
Ndio huwa mnasoma hayo au?Mwisho wa siku mje mseme tumependelewa wakati watu amtaki kuja kusoma CAPI wengine mpo hapa hapa dsm mna zurura zurura tuView attachment 560473
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hata wasio na hicho cheti watapata tu ila ikitokea eneo fulani mwenye hicho cheti ameomba/wameomba watapewa kipaumbele.Kwa Dar watafanya wao coz wapo wengi na maeneo yote yanafikika kutokea pipote ila mikoani watu mbalimbali watapata.Hata hivyo ikumbukwe hizi kazi zinatangazwa tu kwa mujibu wa sheria lkn huwa zinafanyika miaka yote.Na wale mameneja wa mikoa wana vijana wao wanaowafanyiaga hizi kazi.Kwa hiyo waliosoma hiko chuo chao ndio watasambazwa mikoa yote ?maana sidhan kama huku kanda ya ziwa wengi wao kama wqna hicho cheti na wamepeleka barua watu kibao
HawajajibuNaona kimyaaaah!
Mimi nimepigiwa simu janaMajibu ya walioapply yanatoka lini?
D.A "Mwanaume mashine"
Ni wapi huko
Mkoa gani huo wameanza kupiga cm?