Recent content by jacks munyankindi

  1. jacks munyankindi

    Matajiri hawataki ujue hili

    Pamoja na huo mgawanyo wa masaa kuna masaa 8 ya biashara, je biashara hiyo ni ipi kama huna pesa au mtaji? Ungeeleza namna gani mtu atapata mtaji Wa kuanzisha hiyo biashara ili atumie nayo masaa 8.
  2. jacks munyankindi

    Kafulila: TANESCO walikuwa sahihi kutaka bei ya umeme ipande

    Ukweli ni kwamba, upinzani kwa sasa wamekosa vitu vya kuikosoa serikali, Wapinzani sasa wamebakia kusikika kutoa kauli zao pale mh JPM anapomtumbua kiongozi. Tukumbuke kuwa katika awamu ya nne hawa wapinzani Ndio waliokuwa wakpiga kelele sana kuikosoa serikali na ccm kuwa wanayo tabia ya...
  3. jacks munyankindi

    Lowassa ampongeza Rais Magufuli kwa hili

    Watapongeza sana, kutokuwa na imani na mbinu ni jambo lingene.
  4. jacks munyankindi

    Serikali yafuta Posho za vikao vya Kamati za Bunge na Bodi za Taasisi za Umma

    Hii ni Tanzania mpya ya magufuli.anayebisha aseme.
  5. jacks munyankindi

    Hakika Siku zaja tutamkumbuka Jakaya Mrisho Kikwete

    Bilgert, naungana na wewe kuwa jambo hili liangaliwe sana na wabunge wetu, hivi kama serikalini hapatakuwa na ajira ya kudumu bali itategemea uwajibikaji wako, je kutakuwana tofauti gani kati ya serikali na sekta binafsi. Maana hii itakuwa ni kufunga mkataba wa kazi. Katika wafanyakazi wa...
  6. jacks munyankindi

    Huyu ndiyo Magufuli, Bila ya Chenga!

    Wakuu wengine wasimkwamishe
  7. jacks munyankindi

    Ilani ya Uchaguzi na Ratiba za kampeni za CCM

    Mabadiko unayoyataka utaongoza nchi kwa kutumia nini? maana huna ilani. au huelewi maana ya ilani?
  8. jacks munyankindi

    Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

    Siku zote CHADEMA hutupia lawama kwa CCM kuwa ni watu fisadi, je huyu naye ni kiongozi wa CCM?
  9. jacks munyankindi

    UKAWA yamuhofia Zitto

    ACT, kwa sasa ni tishio kwa ukawa.
  10. jacks munyankindi

    Mh. Rais, bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao

    Huyu nabii Lema, kwanini hatoi unabii kwa Slaa na Mbowe kubadili katiba ya chama ili waendelee kubaki kwenye madaraka? Au hii ni sahihi kwa CHADEMA? Pumbavu zenu ukawa, mnajifanya mnaijua sana demokrasia huku hamuiwezi.
Back
Top Bottom