Ilani ya Uchaguzi na Ratiba za kampeni za CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ilani ya Uchaguzi na Ratiba za kampeni za CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MwanaDiwani, Sep 5, 2015.

 1. MwanaDiwani

  MwanaDiwani JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2015
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 5,536
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkoa wa Morogoro
  5 Sept 2015-Ulanga kuanzia saa 2 asubuhi
  5-Sept 2015-Kilombero kuanzia saa 7 mchana
  6-Sept -2015-Kilosa kuanzia saa 5 asubuhi
  6-Sept -2015-Mvomero kuanzia saa 8 mchana
  6-Sept -2015-Morogoro Mjini kuanzia saa 10 jioni

  Mkoa wa Tanga
  7-Sept -2015-Kilindi kuanzia saa 6 mchana
  7-Sept -2015-Handeni kuanzia saa 9 alasiri
  8-Sept -2015-Muheza kuanzia saa 2 asubuhi
  8-Sept -2015-Pangani kuanzia 6 mchana
  8-Sept -2015-Tanga Mjini kuanzia saa 9 jioni
  9-Sept -2015-Mkinga kuanzia saa 2 asubuhi
  9-Sept -2015-Kologwe Vijijini kuanzia saa 4:30 asubuhi
  9-Sept -2015-Kologwe Mjini kuanzia saa 6:30 mchana
  9-Sept -2015-Lushoto kuanzia saa 9 alasiri

  Mkoa wa Kilimanjaro
  10-Sept -2015-Same kuanzia saa 2 asubuhi
  10-Sept -2015-Mwanga kuanzia saa 7 mchana
  10-Sept -2015-Moshi Mjini kuanzia saa 9 alasiri
  13-Sept -2015-Moshi Vijijini kuanzia saa 2 asubuhi
  13-Sept -2015-Rombo kuanzia saa 4:30 asubuhi
  13-Sept -2015-Siha kuanzia saa 7 mchana
  13-Sept -2015-Hai kuanzia saa 9 alasiri

  Mkoa wa Tabora
  14-Sept -2015-Tabora kuanzia saa 2 asubuhi
  14-Sept -2015-Sikonge kuanzia saa 6:30 mchana
  14-Sept -2015-Tabora Mjini kuanzia saa 10 alasiri

  ===========================================
  [​IMG]

  Pakua hapa chini ili upate Ilani ya Uchaguzi 2015-2020
   

  Attached Files:

 2. MwanaDiwani

  MwanaDiwani JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2015
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 5,536
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Sisi tunasema Umoja ni Ushindi

  Magufuli anasema #HapaKaziTu

  CCM ni ushindi, umoja, mshikamano, upendo na amani.

  Karibuni sana.
   
 3. yomboo

  yomboo JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2015
  Joined: May 9, 2015
  Messages: 4,941
  Likes Received: 3,194
  Trophy Points: 280
  Sisi tunataka mabadiliko via ukawa iyo ilani pelekeni chamwino na chimwaga
   
 4. T

  Tob0001 JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2015
  Joined: Jul 26, 2015
  Messages: 333
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtakiona mwaka huu
   
 5. MwanaDiwani

  MwanaDiwani JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2015
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 5,536
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndugu,
  Jisemee peke yako ili ueleweke na siyo kuweka mwanvuli wa fikra zako kwa wapiga kura wote.
   
 6. MwanaDiwani

  MwanaDiwani JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2015
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 5,536
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndugu,
  Hizo ni fikra zako na haziwezi pia kuzuia ukweli kukufikia baada ya Uchaguzi Mkuu
   
 7. yomboo

  yomboo JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2015
  Joined: May 9, 2015
  Messages: 4,941
  Likes Received: 3,194
  Trophy Points: 280
  Tuko wengi mwana diwani ndo maana nikakwambia iyo ilani pelekeni chamwino na chimwaga

  SISI WANA UKAWA TUNATAKA MABADILIKO VIA UKAWA
   
 8. T

  Tob0001 JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2015
  Joined: Jul 26, 2015
  Messages: 333
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Toka pepo?? nani kakwambia u quote my msg nahc nishachafuka usiludie tena #MwanaDiwani
   
 9. MwanaDiwani

  MwanaDiwani JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2015
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 5,536
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndugu,
  Kama ulifahamu ni pepo, ujinga au upumbavu gani umekufanya ukaingia kwenye thread ya pepo?

  Nadhani huelewi hata mantiki ya kile unachokiandika!
   
 10. MwanaDiwani

  MwanaDiwani JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2015
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 5,536
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndugu,
  Wengi ni semi tata. Hata wawili ni wengi.
   
 11. yomboo

  yomboo JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2015
  Joined: May 9, 2015
  Messages: 4,941
  Likes Received: 3,194
  Trophy Points: 280


  Wewe kama unaona wawili sawa lakini kama tumaweza kuwa na group ya team mabadiliko 52 za kwenye wats up na members 100 each group calculate hapo

  Izo nondo zako za ilani pelekeni chamwino na chimwaga Kivumbi cha mabadiliko kitakuja mpaka huko chimwaga
   
 12. T

  Tob0001 JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2015
  Joined: Jul 26, 2015
  Messages: 333
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nahc shule kwako tatzo pia.
   
 13. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2015
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,357
  Likes Received: 1,212
  Trophy Points: 280
  Hata mzurure hadi anga za mbali, ccm=chama cha matapeli na utapeli wenu tumeuona na tumeuchoka.

  Sasa basi.

  Lowassa na sisi; sisi na Lowassa. Alipo Tupo.
   
 14. jacks munyankindi

  jacks munyankindi Member

  #14
  Oct 18, 2015
  Joined: Aug 18, 2014
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mabadiko unayoyataka utaongoza nchi kwa kutumia nini? maana huna ilani. au huelewi maana ya ilani?
   
 15. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2017
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 10,717
  Likes Received: 3,148
  Trophy Points: 280
  Hapa shida tu
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...