Huyu ndiyo Magufuli, Bila ya Chenga!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kama mnafikiri hii ni nguvu ya soda basi muangalieni tena Magufuli wetu akiwa hajawa raisi bado!

Last edited by a moderator:
Aisee....! Kameza sheria za barabara...kama Mnyika na kanuni za Bunge. Safi the President. Wataisoma namba wote...!
 
Aisee....! Kameza sheria za barabara...kama Mnyika na kanuni za Bunge. Safi the President. Wataisoma namba wote...!

Mi mpk hapa naona wanaoisoma namba ni CCM waliozoea kujipigia mapande ya tenda mbali mbali.

Hakyanani kuna mtu alishaenda China kununua T-shirt za kuvaa watoto wa halaiki kwenye gwaride la tarehe 9, saa hizi atakuwa India anatibiwa presha
 
Uko sahihi mkuu....maana inasemakana "Wanaoisoma namba ni wale walioiandika"

Hiyo tenda T-Shirt ni kichefuchef....!
 
Kwa mbaaliii naanza kumkubali. Ebu tumpe muda. Once bitten twice shy Mkwere ndie anatufanya tuwe dilemma nae alianza na hii kac
 
Kasi hii ikiwa endelevu itasiadia sana wasiwasi wangu ataitwa kwenye vikao vya siri na hayo wanao jiita wazee wa CCM na kumuonya kuwa nchi haiendeshwi hivi...Hapo ndo kasi zote zitaingia mfukoni.
 
Back
Top Bottom