Mgombea Udiwani CCM kata ya Ihumwa apita bila kupingwa,wagombea wa Chadema & ACT Wazalendo wajitoa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Safari kuelekea 2020 imeanza baada ya Mgombea udiwani kata ya Ihumwa mkoani Dodoma kupita bila kupingwa. Sasa katika kata 20 za uchaguzi wa Marudio zimebaki 19.

Naona imani ya mageuzi ya JPM inakubalika kwa kasi ya ajabu.
 
haya sasa, waliokuwa wanajitoa akili kuuliza Magufuri anatupeleka wapi majibu ndo hayo yameanza kupatikana.

CCM MBELE KWA MBELE, IHUMWA MMEJIPANGAJEEE.? TUMEJIPANGA, MWAKA HUU WATAISOMA..*2 WATAISOMA NAMBA.
 
Kwa ndugu zangu wagogo hata sishangai.
 
haya sasa, waliokuwa wanajitoa akili kuuliza Magufuri anatupeleka wapi majibu ndo hayo yameanza kupatikana.

CCM MBELE KWA MBELE, IHUMWA MMEJIPANGAJEEE.? TUMEJIPANGA, MWAKA HUU WATAISOMA..*2 WATAISOMA NAMBA.
CCM haiwezi kuondolewa na makapi...wananchi wameshagundua mbivu na mbichi..sasa hivi wanafanya yao.
 
Kwa kasi hii ya magufuli hamna haja ya vipinzani uchwara,
Kutwa nzima vinatetea mafisadi.

Hongera wana ihumwa
 
Viroba kwa upande mwingine Vinakusababisha uwe na tabia ya mifugo aka nymbuz

Nawewe ndiye huyu
ccm.jpg
 
Back
Top Bottom