Recent content by jackie8

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi maafisa wa wizarani pia scale ni moja kma wanaopangiwa halmashauri?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari zenu wakuu, kwa ambao walishapataga kazi kupitia utumishi hua inachukua muda gan mpka kupangiwa kituo chako cha kazi? After kuchukua barua na kuipeleka sehem husika inayoelekeza!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Jumanne ndo nlipigiwa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Leo mimi nmefanya kwa dar es salaam zone
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu Naomba kueleweshwa.. changamoto za kufanya kaz huko halmashauri tukitoa ilo la mshahara wa tgs D ni zipi zngne?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nadhan watakua wanatoa majina kulingana na nafas znazopatkana ktk halmashaur.. so wataendela kutoa kdgo kidgo.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Since jana usku haifunguki.. ilo file bas ltakua la gb nying
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Shukrani.. na interview ni mda gan? Au hmna mda specific?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Ulifanikiwa kufanya oral interview ya nmb?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Ulifanya oral interview yao mwaka jana?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    kuna ambao hawajapata email?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi ilo pdf la database la watu 1700, watajumuishwa na hizi post za watu walofanya oral recently wanaosubir placement au wao watapangiwa kweny post zipi?!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sidhani, sababu kuna post ingne inahitaj watu 100 na interview znafatana zmepishana sku moja tu, so am sure watu lazma waende. Ila hii ya watu 100 hakukua na interview ya written, tumeitwa oral moja kwa moja.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Iyo post tulifanyia na written kabisa, ilkua zile za MDA’s na LGA’s, tulifanya kikanda, pdf ilivyotoka ndo ivyo sasa wameita watu 125, na ni mtu mmoja tu anayehitajika.
Back
Top Bottom