Recent content by Jack of all Trades

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wana Msimbazi wenzangu Kagere anaweza kuondoka simba muda wowote kama mipango ikienda sawia.

    Kaanza na 18 years sawa na kacheza hiyo ligi kuu kwa muda gani na hadi sasa ana umri gani?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbabe SATANA alikufa au bado yu hai?

    Damme amemuonea sana Papii Kocha kipindi hicho dah
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

    Tuwaulize kuwa mnamfahamu RUKUKU BOY? Au utatupa jina lako halisi ndio tuwaulize?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke kisa hiki cha msanii Noorah na Fiesta

    Hata kama ilikuwa show ya FIESTA jamaa hakupata ajali akiwa stejini kapata hiyo ajali kaishatoka huko Fiestani kwahiyo waandaji wa show hawahusiki tena hapo,mfano umetoka ofisini saa kumi na moja umepita sehemu then saa tatu usiku unaelekea home ukapata ajali utasema hiyo ajali umeipata kazini??
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Mafao: Mama aangua kilio ndani ya ofisi za PSSSF!

    Ila sheria sio wao waliotunga na kupitisha remember wao wanafata tu taratibu Hapa wa kulaumiwa ni mbunge wako...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

    Case closed..
  7. J

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amtaka Mo Dewji kuwa jasiri na kusema ukweli juu ya kilichomtokea

    Bora,maana mtu akiandika kingereza watu wanawahi kusema cha ugoko wakati wao kuandika chao kilichonyooka hawaaandiki watu bhana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Pale unapopewa namba na mdada wa Facebook alafu akakutumia picha yake WhatsApp

    Unamblock kabla hajamaliza ku type..
  9. J

    JamiiForums Tanzania Enyi wazazi na walezi muishio Dar mnaleaje watoto wenu

    Hii ni shida sana, mtu mpo stand magari ya kutosha lkn unakuta mtu anakomaa na lililojaa halafu anataka apishwe seat, aisee me huwa nawaangalia tu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasco/Dawasa Maeneo ya mwenge mmekuwa na tabia ya kukata maji kwa siku tatu mfululizo bila taarifa yoyote,na hii inatokea every week, tatizo ni nn?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Sijasex muda wa miaka 2 na nusu na niko safi tuu!!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi magumu

    Sasa kama umeshaamua unaomba ushauri wa nn? Si ungetenda tu kimya kimya
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Sumari amgomea Jaji Kiongozi kwenye kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa shule ya Scolastica

    Wameficha so ni Accomplices,hata ukishiriki kupanga tu tendo la mauaji we pia utakuwa muuaji Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka kuona hii Picha

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Back
Top Bottom