Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,678
- 14,572
Ilikuwa kitambo kidogoDuh lini hyooo![]()
![]()
![]()
![]()
Mbn siku hzi Kawa mpole kimtindo
Ova
Ilikuwa kitambo kidogoDuh lini hyooo![]()
![]()
![]()
![]()
Mbn siku hzi Kawa mpole kimtindo
Ova
Uliwahi kukutana na Mkama sharp mkuu?ukweli ni kwamba watu wa zamani walikuwa Waoga halafu wote mnajuana. nakumbuka zamani askari mmoja anaweza kamata maskani mzima akawafunga mashati na akawaswaga hadi kituoni maana ana wajua hadi wazazi wenu. sasa leo hili linawezekana? nasema kama kijana wa zamani mzee wa sasa
Ah mkama sharp (rip)Uliwahi kukutana na Mkama sharp mkuu?
Asante mkuu nimekusoma ulipotamka kwa hisia. Yule jamaa alikuwa habari nyingine. Pale Relwe gerezani kwenye ngumi alikuwa na uwezo wa kudhibiti vurugu peke yake. Halafu mzee mwenzetu anasema tulikuwa waoga. Haa utaleta ubabe mbele ya Mkama??Ah mkama sharp (rip)
Ova
Huyu Nkama Sgarp kituo cha msimbaziAh mkama sharp (rip)
Ova
Asante mkuu nimekusoma ulipotamka kwa hisia. Yule jamaa alikuwa habari nyingine. Pale Relwe gerezani kwenye ngumi alikuwa na uwezo wa kudhibiti vurugu peke yake. Halafu mzee mwenzetu anasema tulikuwa waoga. Haa utaleta ubabe mbele ya Mkama??
Amefariki unaweza ukafika mwaka wa nne sasaJamaa alitisha sana, sijui kapotelea wapi huyu "gangwe".
Yupo manzese kaacha ngumiHuyu Nkama Sgarp kituo cha msimbazi
Koba kimanga bado yupo ? Alikuaga central nadhani ,mbavu nene ,boxing heavyweight
Amedanja kama miaka minne hv iliyopitaKuwa kimya bila kujulikana alipo kwa miaka yote hiyo... Anaweza kuwa ameshatangulia mbele ya haki,Ama yupo Mji mwingine...
Ah wa babe wakina Paul siza
Hyo kdg niyakanyage naye hapo langata enzi hzo maana wengine tulikuwa tnaonekana mabaharia![]()
![]()
![]()
Siza aanatamani cheni nkaona ohooo
Sema aliishiaa kuwa mkabaji
Badaye akaingia kwenye ujambazi akayanyaga sehemu raia waakammaliza
Siza alikuwa bondia mzuri heavyweight
Alikuwa anakosa mapambano
Ova
Nadhani alikua police huyu jamaa ,hao mlikua mkiwataja akina ayub mkomwa ,sijui nani ,koba ndio alikua anaenda kuwachukuaYupo manzese kaacha ngumi
Nlitoka safari moja kurudi cheni kbwa Dah langata hyo naenda toilet hyo nyuma kniona ahh mjomba kmbe nlijua ngombePaul siza,au Mjomba siza,heavyweight boxing ,mazoezi lang'ata social hall
Asee Paul siza alifariki lini ?Nlitoka safari moja kurudi cheni kbwa Dah langata hyo naenda toilet hyo nyuma kniona ahh mjomba kmbe nlijua ngombe![]()
![]()
![]()
Nkamwambia ahh mjomba hata mm akaniambia nlijua foreigner....
Duh
Kifo chke raia walimuaa,walienda pora sehemu wakati wanakimbia wenzake walimuacha si unajua alikuwa mzito mwili ule
Raia hawakufanya ajizi!
Ova
Mbabe Bob chura mbavu nene
Ila kuna Tukio moja la kwenda wanamia kuwahamisha wa kazi miaka fulani ilikuwa Bunju kama skosei jamaa anayedai mwenye eneo na kampuni ya udalali waliwakusanya wababe na mabaunsa wakaenda hko ila walichokutana nacho hko walupigwa wengine walipoteza maisha
Chura ponapona yake walimgonga vunjavunja tangu siku hyo akawa dhaifu.....
Ukikutana naye anakwambia mjombaa ubabe usimfanyie raiaa
Raiaa hafai
Ova
Kuna mmoja alikua anaitwa Basil au Dame nae mwili mkubwa hivi ,alisoma Aza boy naye nasikia alifarikiChura Alisha Rest in peace
Kitambo sana mbona....Asee Paul siza alifariki lini ?
Baada ya kipondo kule mwabepande alikuwa dhaifu kimwili.....ponapona yke kule alijifanya kafaChura Alisha Rest in peace