huyu mama Mimi ninamfahamu Kwani kipindi tangu Akiwa pale katika TAASISI moja miaka ya 2012-2013 kabla hajawa mkuu WA WILAYA anavijitabia Fulani vya kudharau watu na sishangai Kwani hivi ni vijitabia vya watu wanaobahatisha maisha wakifanikiwa huwa wanawaona kila asiyefanikiwa ni PIMBI MMOJA...
MIMI nafikiri huuu UZI mngetiririkia Kwenye group LA wasapts huku Sisi wengine haturuhusiwi Sana kujua nn kinaendelea Leba Ni desturi zetu waungwana huku afrika kujadiri vitu vya Reba ni mwiko
Naomba nikurekebishe ndugu yangu u Kris to Siyo DINI, kama ujuavyo ww Bali UKRISTO ni LIFESTYLE NI MAISHA na Sio Dini watu wanakosea Sana Ndio maan watu wengi wanashindana na ukristu /ukristo wakifikiri ni Dini LA hasha ni maisha. Au lifestyle . unaweza ukanihoji DINI ni nini na ukristu ni...
Jibu ni rahisi tu anasubiri amchome kisu amuue akamchimbie shimo auto amfunike na magunia kisha amchome Moto. Asiyesikia LA mkuuu Ndio MAPENZI ya Siku Hizi..... Dada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.