Natafuta kiwanja, shamba

Jul 30, 2019
69
32
habari Za Leo wadau wangu ....Jamani mm ninashida na kiwanja maeneo ya kibaha kiluvya hata vikiwa viwili nitashukuru Sana Sana au kama SHAMBA lipo maeneo hayo kuanzia heka 3 na KUENDELEA aliyetayari anayejua muuzaji animal pm anipe offer. Asanteni
 
Mkuu punguza mchecheto umekosea jukwaa
 
Mkuu kwanini usitafute eneo lilopimwa upate hati yako na uhakika wa neighbourhood nzuri. Huko Kibaha makampuni mengi ya upimaji yamepima viwanja.

Asante mkuu Kwa ushauri wako nami nitaufanyia kazi hakika. Japo sijayajua hayo makampuni Bado huko k/baha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom