Suala la tunanufaikaje na miradi mikubwa inayosimamiwa na serikali ya JPM
inaiingizia serikali fedha nyingi zinazotumika kwenye social services unazotumia for free mfano mbona mnajifanya amuelewi
Mbona wakati wa katibu mkuu slaa ndio tulikuwa tunayasimamia eti leo mnakana
Hakika ni mashaka...
Ujawagawa hao wafanyakazi katika makundi sahihi
Kumbuka kuna kundi kubwa la wafanyakazi waliokuwa wamechoshwa na mfumo wa serikali za awamu zilizopita kuhusu kuendesha nchi kwa kukumbatia matajiri na wafanyabiashara matajiri na kusahau kutetea maskini
Huyu jamaa anachukiwa sana na matajiri sema...

Kuna wimbo ulioimbwa na msanii kutoka Kenya unaongelea mafisadi. Kiitikio chake ni "Sitasimama maovu yakitawala"
[emoji120][emoji120] Nisaidieni jina la nyimbo iyo na jina la msanii
Nautafuta sana [emoji120][emoji120]
Napenda kujua tafsiri ya msamiati Asasi. Mara nyingi nimesikia wakisema Asasi ya Kiraia lakini Asasi ni nini sijajua bado.
Naomba kufahamishwa, I'm deep
[emoji120][emoji120][emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.