Recent content by j4marunda

  1. J

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Na hapo ndipo ninapowaogopa Wa-TZ kwa usanii! Uchunguzi pia ufanyike ijulikane hata hicho cheti cha kuzaliliwa kilitolewaje? Na kama tunataka kushinda undanganyifu ktk taifa letu huyu kiongozi na awe mfano wa kukukiri hadharani kwamba alifanya udanganyifu.
  2. J

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Viongozi wengi katika kipindi wataendelea kufanya kazi juu ya sheria.Nadhani nchi haitaendeshwa kwa operation za kijeshi ila kwa "Utawala wa Sheria"
  3. J

    Monaban, Siasa unazoeneza Arusha zitakutafuna mwenyewe kibiashara

    Pia angekumbuka enzi Solomon Ole Saibulu enzi za mwalimu.Mollel anajua kilichompata huyo bwana kwa kutaka kuleta ukabila Arusha
  4. J

    Hivi ni kwanini CHADEMA mnalaumu sana Polisi?

    Ndugu ningependa ufahamu jeshi la polisi Tanzania limepoteza ile heshima yake ya kuwa chombo cha kulinda raia na mali zao!.Baada ya polisi kuwa ni chombo cha kisiasa ndio maana unaleta uzi wa kuuliza ni kwa nini CHADEMA wanalaumu polisi.Ukweli ni kwamba polosi sasa ni chombo cha kusimamia...
  5. J

    Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

    Ni jambo la ajabu sana kwa mtu mzima na akili zake kuandika thread kama hii.Hata ktk nchi za vita hospitali na hotelini sio pahala pa kupiga boma kwa namna yoyote ile. Kama huyo askari alikuwa pale kwa utaratibu ule pengine wa kufanyia uchunguzi mwili wa marehemu, nina uhakika hakuna kijana...
  6. J

    Uteuzi Waziri Mkuu mtihani mkubwa kwa Rais na chama chake

    mleta mada inaonekana wewe ni mbumbumbu mkubwa na hatari kwa maendeleo ya taifa letu.Tabia ya kuanza kutoa utabiri ni ishara tosha ya umasikini wa kifikra ulionao na baadhi ya watu wengine.
  7. J

    Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    Kwani wewe unayetoa taarifa ni kama nani? maana taarifa kama hii ilitakiwa kutolewa na mamlaka husika na si mwanachama tu wa mtandao wa jamiiforum.Ni vizuri tuaachia mamlaka husika wakatoa majibu kwani ni haki ya raia kupata maelezo juu ya maliasili za nchi yake.
  8. J

    Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

    Ndugu yangu gwanda sio jambo muhimu kama kazi iliyo mbele yet.Kumbuka hata mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa "Gamba"
  9. J

    Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    Ndugu yangu! Suala la kumsamehe Zitto sioni kama ni mjadala! Hii ni kwa sababu yeye mwenyewe Zitto alipaswa kuliona hilo mapema na kuomba msamaha! sioni kama chama kinapaswa kwenda kumuomba yeye Zitto bali yeye akiri makosa yake na kuomba msamaha! hapo tutamwona muungwana!.Kama akifanya hivyo...
  10. J

    Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    Kumbuka CHADEMA ni taasisi na sio mtu! hivyo Zitto ataikumbuka CHADEMA iliyomjenga mpaka kufikia hapo!.
  11. J

    Polisi: Huyu mama askari wa usalama barabarani ni nani? Jana alikuwa Mbewe akikusanya pesa kwa nguvu

    Ni kweli hali ya polisi hawa imezidi! imetokea hata siku ya ibada J2! trafic yuko pale eneo la kanisani [Kristu Mfalme-Moshi] anatakiwa kuongoza watoto wametoka ibada ili waruke barabara.Mimi nilishuhudia askari wa kike akihangaika na kukagua magari na kudai rushwa huku watoto wakihangaika...
  12. J

    Taarifa kwa Vyombo vya habari kutoka IKULU juu ya Katiba Mpya

    Chakunishangaza sio hizo kauli za Mhe. JK! kwani tumekwishamzoea! yeye anatumikia historia yake na wala sio Watanzania!.Cha ajabu hiyo inayoitwa taarifa kutoka ikulu! Jamani Tuache utani! watu wawajibike kwa wananchi nasio kutumia rasilimali za umma kuandika madudu!
  13. J

    Mke wa Chacha Wangwe achaguliwa kuwa M/Kiti wa Wanawake Taifa wa ACT

    wewe una fikira mgando! kwenye hii thread sijaona ukabila wewe unaingiza hapo! nende Mirembe hospital ukapimwe afya yako.
  14. J

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Cha msingi hapa ni kutambua ya kuwa tekinolojia imekuwa! na hivyo watu wakome kutuma sms za matusi au vitisho kwa watu wengine hata kama ni kwa kutumia simu za wadogo zao! .Mkono wa sheria utakufikia tu!
Back
Top Bottom