rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Siku hawa askari wakimbaka mama yako aliyekuzaa ndiyo utapata akili.
CCM mkubwa wewe.
Na siku wakimnajisi/wakimf,ila mtoto wako wa kiume ndo utaelewa
machungu watu tuliyonayo.
Au siku wakimuuwa mtu wako wa karibu kabisa bila sababu yeyote mbele ya macho yako
hapo ndo upumb,avu utakutoka kichwani
Tangu lini polisi wakawa waombolezaji ktk msafala wa msiba na hata mochuali
kama hawakuwa na nia ovu tu dhidi ya waombolezaji.
Naomba Mungu ajalie yakupate niliyosema hapo juu ndo
utaelewa utendaji mzuri wa hao polisi unaowapigia debe hapa.
Kimsingi ninaishi karibu na hospitali ya Bugando na walichofanya
hao polisi ulikiwa ni UHUNI.
Unaongea kama unatoa ushuhuda vile! Unawasema vibaya askari kuhusu matendo hayo, au we mwenzetu mama yako aliwahi kubakwa na askari na mwanao aka.f.lwa na askari? Toa uthibitisho sio unakuja kueneza chuki zisizo na sababu. Mtu ukiwa shabiki wa Lema akili zako zinakuwa sawa na za Ng'ombe wa Lowasa.