Recent content by J20

  1. J

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Wakati wa mjadala wa kujadili mswada wa sheria ya kudhibiti matumizi mabaya ya mitandaoni, ilifika wakati wa kupitia kifungu kwa kifungu, mjadala ulikuwa hivi Mwanasheria Mkuu(AG): Nimekubaliana na mapendekezo ya Chenge lakini sikubali ya Lisu, Speaker: Chenge Mtoa hoja unasemaje? Chenge...
  2. J

    Bunge leo jmosi 29/11/2014 linaendelea

    Wadau naomba tuendelee kuangalia Bunge leo linaendelea kuanzia saa tatu asubuhi
  3. J

    Je wadau bunge linaonyeshwa live kwenye link gani kwenye mtanadao

    Naomben kujulishawa wakuu, kwa yeyote mwenye Link hiyo
  4. J

    Si Dk. Slaa au Prof. Lipumba, wote wamechoka

    Wasemwao vibaya na CCM ujue ni tishio kubwa sana juu ya uhai wa CCM
  5. J

    Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

    Hivi Mke wa Rais mstafu Ben Mkpa ni yupi, yule mke wa Basil Mramba au yupi? Je mke wa JK ni yupi? Je mke wa Nyerere wa kwanza mnamfahamu? Hatutaki kujua mke wa mtu tunataka mtu mwenye uzalendo, Dr Slaa anauzalendo wa kutosha kuwa Raisi, tuombe uzima tu Slaa anaingia ikulu,
  6. J

    Tumejipanga kutoa elimu ya uzalendo, kwa kutumia DVD

    Hii kitu inagawiwa bure kwa gharama ya nani? acheni uhuni si mkatoe misaada huko morogoro kwenye mafuriko jamani kama mnazo pesa na hazina mashaka zilikopatikana
  7. J

    JK aitabiria CCM kifo

  8. J

    Kampeni ya chaguzi ndogo zinazoendelea naomba walio huko jamani mtujuze tulio mbali

    Najua kampeni zinaendelea lakini tulio mbali na maeneo hayo tunapenda kujua mwenendo wa kampeni jaman, naomba walio maeneo jinarani au maeneo husika tujulishaeni kadrii siku zinavyoenda huko wana Jamii pamoja
  9. J

    Taarifa kwa Umma: Mh. Tundu Lissu kutoa elimu ya katiba kwa umma, kupitia ITV

    Nani kama Tundu Lissu katika mambo ya sheria nchini, bana acheni utani, JK ndio wa kumchambua Lisu Bana Jk anajua nini zaidi ya Wasanii Lisu lete somo, wanaponda hapa huku wanahangaika kutafuta luku ili umeme usije ukakatika wakati pindi linakatwa na Nguli wa sheria Nchini Mh Tundu Lissu...
  10. J

    Dr. Slaa atikisa Songea: Pata picha na habari

    @SALOME SICHWALE. tusijadili kwa jaziba salome lete hoja linganifu, huu mjadala ni wa kisiasa na sio wa wasanii wala washabiki wa mpira, tumia lugha ya staa jamani. Binafsi niliguswa na kitendo cha hao Watanzania wenzetu kulowana na mvua kwa ajili tu ya darasa la Dr Slaa. nikajua hapo lazima...
  11. J

    Dr. Slaa atikisa Songea: Pata picha na habari

    Songea Mkutano wa Dr Slaa Hii picha imepigwa wakati mvua kubwa inanyesha Nimefurahishwa sana na Wananchi kuendelea kumsikiliza Mh. Dr W.P. Slaa na wakati mvua kubwa inanyesha, Binafsi nimejifunza yafuatayo:- Wananchi wa Tanzania wana Imani kubwa sana na Chadema ktk kupata maisha wanayoyataka...
  12. J

    Bashiru Ally: Vyama vya siasa Vya Maslahi

    Bashiri ni mchambuzi na mtunzi wa Mashaihiri ya kiswahili na wala sio mchambuzi wa SIASA awaachie wachambuzi wa kisiasa wachambue, pia na yule dogo wanayeshirikiana kuchambua hamna kitu pale na huyu anayeendesha kipingi hicho chanel ten inaonyesha uzee ushaingia maana anashabikia uijinga tuu
  13. J

    Dr Slaa ang'ara katika salam za Mwaka 2014,

    Raisi wetu Dr Slaa Mungu akulinde tupate uhuru kutoka kwa makaburu weusi CCM
  14. J

    Jambazi lau OCD CID Newala,askari mmoja na raia

    Daa kazi ipo jambaz anauwa majembe yetu yalio enda chuo namna hii, nadhan kuna haja ya kuangalia mafunzo ya vyuo vya kipolice maana inatisha, au nako huko kuna Division Five, au slaa zetu Duni, au tahadhar ya askari wetu ni ndogo wakat wakukabiliana na majanga, Mungu awarehemu
Back
Top Bottom