Dr Slaa ang'ara katika salam za Mwaka 2014,

Dr Slaa ang'ara katika salam za Mwaka 2014,

Status
Not open for further replies.
Uzuri safari za Kikwete zina mafanikio mengi. Sasa katibu mkuu anazurura kila siku???
Hayo ni matumizi mabaya ya Fedha za chama....
Hahahaha eti safar za kikwete zina faida...Mara ngap foreign investors wanaotaftwa na magamba na kusain mikataba ya kifisadi imekuwa mzigo kwa srkl dhaifu ya ccm...wako wap wahind wa reli? Uko wap ufanisi kweny kuzurula kutafta wawekezeji wanaoongeza migogoro na wazawa?
 
Hebu tuwekee vigezo vya uchaguzi na wanaofuatia mpaka namba kumi nasi tuongeze ufahamu

usipende kutafuniwa kila kitu vingine jaribu kudadavua mwenyewe , labda kwa kukusaidia tu ni hivi , hakuna mwana ccm hata mmoja kwenye tano bora ! Lakini yupo mmoja tu kwenye top ten , ambaye amemzidi KANUMBA KWA POINT CHACHE SANA ! kumbuka kuwa KANUMBA AMESHIKA NAMBA 7 , je umeelewa ?
 
slaa hana shida na uraisi. slaa anashida na ruzuku tu
 
tusimulinganishe dr slaa na kikwete ni mbingu na ardhi kwa mtiririko huo

Kwa ambao hawajaelewa tu; hapa maana yake ni kuwa DR W.P.SLAA ni MBINGU JUU na KIKWETE (Dr???) ni ARDHI CHINI!!

I LIKE THIS GUY,HE'S MY PRESIDENT!!
 
Nimeshtuka kweli kusikia ameng'aa nikafungua haraka haraka na kijiuriza amuanza kutumia mkorogo mpaka ameng'aa ili iweje?

Body without head
 
Raisi wetu Dr Slaa Mungu akulinde tupate uhuru kutoka kwa makaburu weusi CCM
 
hivi dr. Aliondoka ccm lini? Yaani amezeeka ndiyo anang`ara, siku zote alikuwa wapi??????? Namuonea huruma kwan urais atausikilizia ndotoni
Kwani Wassira alirudisha kadi ya cdm lini?? Au hujui na yeye ni miongoni mwa waasisi wa mwanzo na ana kadi namba 9??
 
Kwani Wassira alirudisha kadi ya cdm lini?? Au hujui na yeye ni miongoni mwa waasisi wa mwanzo na ana kadi namba 9??

kama wasira.nae ana kadi ya chama asizuie shughuli za chadema kokote maana ni kinara wa kulipiza kisasi
 
Watu wote wanaopinga mabadiliko na kukashifu harakati za mabadiliko Ni wake wsnaonufaika na serikali dhalimu ya nchi hii bila kujali Sana WA nchi wanavyoumia na kunyanyaswa ndani ya nchi Yao na rasmali zote walizonazo.
Hatuhitaji kuwasikiliza na kujibizana nao.
 
kama kawaida yako...ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hivi dr. Aliondoka ccm lini? Yaani amezeeka ndiyo anang`ara, siku zote alikuwa wapi??????? Namuonea huruma kwan urais atausikilizia ndotoni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom