Si Dk. Slaa au Prof. Lipumba, wote wamechoka

Si Dk. Slaa au Prof. Lipumba, wote wamechoka

AROLA a cha kutumia miguu kufikiri DR.SLAA na Prof.LIPUMBA hata chama chako cha mafisadi kinawatambua
 
Wakimlazimisha Slaa kuwa mgombea wao, wasije wakashangaa uchaguzi unaahirishwa kwa mgombea kufariki wakati wa kampeni, mimi naona kama babu kajichokea sana

Marehemu Yahaya aliahidi kuwa atakayepambana na JK atakufa. Mungu akamuona Akafa yeye na ameoza. Nadhani Lowassa na Kiharusi chake ni afya nzuri ukiondoa ufisadi aliofanya na madudu mengi ambayo mengine hayaandikiki.
 
AROLA a cha kutumia miguu kufikiri DR.SLAA na Prof.LIPUMBA hata chama chako cha mafisadi kinawatambua

Ndio kinawatambua kama wanasiasa maarufu hapa nchini lakini hakiwatambui kama wanasiasa wanaotisha. Kutakuwa ni kujidanganya eti mwanasiasa aliyeshindwa uchaguzi wa kwanza agombee tena mara ya pili na ashinde... angalia rekodi nadhani jibu utalipata labda ujitoe ufahamu tu kisa ushabiki mandazi.
 
Wasemwao vibaya na CCM ujue ni tishio kubwa sana juu ya uhai wa CCM
 
Kuelekea mbio za urais upinzani unaonekana kuwapigia chapuo hawa watu wawili. Kimsingi wote wamechoka na ni bora atafutwe kiongozi mpya atakaeleta ushindani kama mh. Zitto vinginevyo upinzani kushika madaraka itabaki kuwa ndoto.

Kwa hiyo mnavyo mpigia Zitto Debe ina maana Ccm Hamtaki kutawala milele.?
 
Pigo la kwanza walilopata baada ya kuondokewa na ZITTO ni kubadili jina na kujiita UKAWA ili kukinurusu chama, pigo la pili ni kutumka muda mwingi kujaribu kummaliza ZITTO huku wqkiacha kushughulikia matatizo makubwa na hasa migogoro

Yaaan wewe pimbi kweli. Hivi zitto aliondoka au alijiwahi mahakamani asipate talaka?.
kamuulize Sam 6, ukawa ni nini.? Na wana power gani ?
Wenzio hadi Leo hawajapata posho kule Dodoma, sijui utalipwa nn ,buku7 wewe
 
wakati mwingine jitahidi kuficha dhima ya kile unachokusudia kuwakilisha, kuwa bila baba yako zitto kupata choo kwako ni shida

Mkuu,Zitto anawatuma hawa wajinga kuja kupima upepo humu. Ana misukule yake kama Nyakarungu, Juliana Shonza, Mchange Mtela Mwampamba, Dotto C. Rangimoto na Kafulila.
Wana ID kama 20 hivi mbali na ID zao verified. Na wote kazi yao ni kumtukana Mbowe na Slaa (PhD. Pia kuichafua CDM na kuhakikisha wanamsafisha Zitto kwa nguvu zote!
Hawatupi shida hao wehu. Tunajua jinsi ya kuruka nao
 
Last edited by a moderator:
Ndio kinawatambua kama wanasiasa maarufu hapa nchini lakini hakiwatambui kama wanasiasa wanaotisha. Kutakuwa ni kujidanganya eti mwanasiasa aliyeshindwa uchaguzi wa kwanza agombee tena mara ya pili na ashinde... angalia rekodi nadhani jibu utalipata labda ujitoe ufahamu tu kisa ushabiki mandazi.

unafaa kuwa political analyst
 
1995 JK alikuwaje Dodoma dhidi ya Ben.
 
Katiba ya sasa haijamruhusu ,umri pia ni kigezo pigania swala la umri ndio utafanikiwa kupenyeza hiyo hoja la sivyo sitakuwa hadithi za abunuasi za kufikirika
 
Kuelekea mbio za urais upinzani unaonekana kuwapigia chapuo hawa watu wawili. Kimsingi wote wamechoka na ni bora atafutwe kiongozi mpya atakaeleta ushindani kama mh. Zitto vinginevyo upinzani kushika madaraka itabaki kuwa ndoto.
Kwani hata hii taarifa uliifanyia kazi wapi na muda gani hebu tupe tujuze ulitumia vgezo gani kwenye sampling!
 
Back
Top Bottom