Athari za ustaarabisho zinailinda mbegu ya ukoloni nchini na barani Afrika, inatuzuia kujirudishia taifa letu, uraia wetu na uzalendo wetu. Kisa hatuna elimu ye uzalendo nchini/barani Afrika. Katika utafiti wangu wa miaka 14 nimeigundua elimu hiyo ya Uzalendo, niungeni mkono tuiimarishe...