Recent content by izbullah

  1. izbullah

    JamiiForums Tanzania Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Iko hiv ongea nae kwanza huyo bint je ana muda gani hayo majini yana msumbua ?na je yupo tatari kuyatoa ?Akisema yupo tayari mpeleke akapate Tiba ni haram mwanadam kumiliki jini
  2. izbullah

    JamiiForums Tanzania Dukani kwa Mangi Soda sh 700 je ni kweli bei imepanda au " kanipiga"?

    Bei elekezi ya soda kwa makampuni zote Yan coca-cola na Pepsi ni 11800 Sasa wwukiuza 700 unaibia wataje na unakeuka maelekezo ya capuni
  3. izbullah

    JamiiForums Tanzania Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

    Mwambie yy aje bonge
  4. izbullah

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa waliokwisha soma na wanaotarajia kusoma Open University Tanzania

    Huu Uzi urudiwe maana unanihusu kwa sasa
  5. izbullah

    JamiiForums Tanzania Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

    Hakika mkuu umeongea point nilikuwa na shidwa ni comment vip lakini ww umemaliza kila kitu Nadhani ushaur wako hato uelewa lakini kama ana akili ya maisha atajifunza
  6. izbullah

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Wanao soma open university (out) tujuane maana Kuna maswali ningependa kujifunza kutoka kwao
  7. izbullah

    JamiiForums Tanzania Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

    Humu ndani Kuna wajuzi wa mambo duh kiukweli nilikuwa sifaham hik kitu
  8. izbullah

    JamiiForums Tanzania Azam wamepania hii game kuliko hata Confederation Cup

    Kwa akili ya kawaida mmesha gundua mtoa Uzi ni Tim utpl
  9. izbullah

    JamiiForums Tanzania Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    Tusubilie 2025 utasikia
  10. izbullah

    JamiiForums Tanzania Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

    Ngojea nikufundishe kitu kimoja Hakuna mwanake yyte duniani anae weza kutongozwa na mwanaume akakataa Ukiona ww mwanaume umemtongoza bint/mwanamke kakataa basi ujue ww mwanaume hujafuata protocol Ukifuata protocol hakuna mwanamke yyte duniani anae weza kukukataa Zingatia hilo my friend
  11. izbullah

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

    Kuna benk flan nimekuta wamebandika Hadi kwenye ATM machine
  12. izbullah

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

    Alikuja morogoro mwezi ulio pita kilakona matangazo had kero
  13. izbullah

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

    Hekima inabidi itumike hapo kama ninge pata fulsa ya kumshaur mwanaume ninge mwambia asi huzunike miyoni mwake amuachie tu hio pesa mwanamke ajenge kwao na ww hio pesa ulio nayo usijenge kwenu kanunue kiwanja ujenge kwako kwanza kunahekima ndani yake
  14. izbullah

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Walitangaza baada ya Massa 24 mambo yatakuwa yamesha badirika
Back
Top Bottom