Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Hilo siyo swali la Hesabu.
Swali lako halijakamilika,lita moja ya kitu gani?maji,maziwa,oil,petrol?
Walimu mna kazi ya kuwafundisha hawa vijana wetu.
Ukisema lita moja ujazo,fahamu density ya hiyo liquid kisha utaweza kupata itakuwa na uzito gani ikiwa unajua lita moja in ujazo(volume kiasi gani) otherwise huwezi.
Walimu tuna pambana na mengi density ya object tofauti af two variable mbili zenye SI unit mbili tofauti Bado mtoto anataka kulinganisha
 
Hello nnq shda na past paper za shule kama Marian Baobab Feza mazinde juu st Francis please DM me
 
Good afternoon
What are the adaptation of reptiles towards changes of climatic conditions
 
Hivi mfano ukihama campus ya chuo na kwenda chuo kingine ni mkopo unaendelea kupata kawaida au unasubiri awamu nyingine....
Msaada wenu wakuu nisaidie hapa sielewi
 
Hivi mfano ukihama campus ya chuo na kwenda chuo kingine ni mkopo unaendelea kupata kawaida au unasubiri awamu nyingine....
Msaada wenu wakuu nisaidie hapa sielewi
Kuhama chuo ni process, hauhami bila kufuata procedures. Kama ni mnufaika, unapohama lazima taarifa zitaenda bodi ya mikopo na mkopo wako wataudirect ulikohamia. Hakuna cha kusubiri awamu nyingine, mzigo wako unaupata kama kawaida
 
Back
Top Bottom