Valhallah Warrior
New Member
- Jul 2, 2017
- 2
- 0
Majina yametoka leo nadhani umeyaona kwenye website ya chuoWakuu tulioomba OPEN, vipi wameshatoa majina ya digrii au bado??
Majina yametoka leo nadhani umeyaona kwenye website ya chuoWakuu tulioomba OPEN, vipi wameshatoa majina ya digrii au bado??
AsanteKuwa na subira kidogo watakuja wahusika
Ok okAsante
Ukienda Open unaanza upya kabisa.Je kuna uwezekano wa mwanafunzi aliyeanza tiari kusoma hivi vyuo vya kawaida (ameshamaliza mwaka wa kwanza tayari) na anataka kuendelea mwaka wa pili na wa tatu katika Open university?.. yaani ahame anaposoma sasa.. Msaada mkuu
Hivi mna course work? Au ndio mwendo wa test na UE? ...mnapewa area of concentration kabla ya paper?Habarini wadau.
Naomba mtu anayesoma open university, ama mwenye manual ya c. k mtaki ya legal system part one and two, au anaejua namna ninayoweza kuipata. tuwasiliane. Aje pm.
Natanguliza shukrani.
Mi sipo open unv, Bali nina shida na baadhi ya open materials (manuals & books).Hivi mna course work? Au ndio mwendo wa test na UE? ...mnapewa area of concentration kabla ya paper?
HIYO YA GHARAMA NAFUU KWA SASAHIVI SIO SIDHANI, KWANI ADA YA MBA ( F) NI 5.8 MCHUO KIKUU HURIA (OPEN UNIVERSITY TANZANIA)
kinatoa masomo au mafunzo kwa njia ya masafa yaani (open and distance learning/study).
FAIDA ZA OPEN UNIVERSITY
1… GHARAMA NAFUU
2…INARUHUSU KUFANYS KAZI ZAKO.
3..INAOKOA MUDA (SAVE TIME)
4..UHURU WA KUJIFUNZA NA KAZI NYINGINE.
5… UKICHOKA UNAWEZA KUPUMZIKA MASOMO PALE UNAPOKUWA NA MAJUKUMU MEENGI AU UCHUMI KUYUMBA.
CHANGAMOTO ZAKE.
1..WALIOZOEA SCHOOL FEEDING HUKU. HAKUWAFAI
2..USIPOJI COMMIT UTAFEL AU KUKIMBIA CHUO.
3..FACE TO FACE INA MUDA NI MFUUPI.
HatariHuu Uzi urudiwe maana unanihusu kwa sasa