Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

Wanaume tunalinda ndoa zetu kwa kuwanyima uhuru wake zetu bila wao kujua. Ukimpa uhuru mwingi tegemea na ndoa kufika tamati soon.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ulichosema Ni sahii kabisa.
Mtoa mada ukisasa unaharibu Ndoa Yake.

Habari za Demokrasia na katiba awaachie wanasiasa.

Maisha ya ndoa,
Habari z majadiliano ya kiDemokrasia hayafai.

Baba mwenye nyumba unatakiwa kua na sauti,
Na sauti yako ndiyo maamuzi ya mwisho ya familia nzima.

Anaepinga inabidi akatafute familia nyingine.

Hizi biashara za kubargain na wanawake Ni kujichoresha na kuonyesha Ni jins gani ulivyo dhaifu Kwenye Ndoa yako.

Sio ajabu,
Wazazi wake mwanaume kesho wakalalamika kijana wao kashikwa Akili na mwanamke, Na Ni kwei kashikwa Akili maana hawez KUFANYA maamuzi Kama baba wa familia.

NIKIWA NA KIJANA DHAIFU KAM UYO,
Makofi ya usoni yatamhusu PAMBAFU ZAKE,
 
Kwa kifupi huyo jamaa ni wewe acha kusingizia watu!!

Kosa lako la kwanza ni kuruhusu demokrasia kwenye ndoa. Hapo ndipo ulipo feli.
Demokrasia alitakiwa awaachie kina Hashim rungwe na Mbowe.

Kuchanganya NDOA na SIASA ni kubaya Sana.

Ona Sasa anavyodhalilika
 
Kwenye moja naweza kuingia akinivuruga napo awe kanivuruga kweli maana naelewa madhara yake, vinginevyo sina fujo kabisa lipokuja suala la mume
Atakapo kuvuruga kweli basi naomba unitaarifu 😂🤣😂!
 
Huyu mwanamke tunampopoa bure tu mawe wala hahusiki nayo. Mwanaume mwenzetu ni box tupu, tena box haswaa!!!! Mwanaume unaanzaje kujadiliana na mkeo kuwajengea wazazi wako!? Tena ujenzi wenyewe ni wa wazazi wako! Haya ndio matatizo ya kujifanya unataka kila kitu mkopromaiz ndani kabla ya kufanya.

NB. Hakuna Ndoa iliyowahi kuendeshwa Kidemokrasia ikafanikiwa! Msiwaone mama zetu wako pamoja na familia zao ukadhani ilikuwa rahisi kama hivyo.
Jamaa kichwa maji Sana
 
Vijana wa siku hizi nao wamezidi wanapenda slope sana yaani mtu anaoa kwa target kwamba huyu kila mwezi atakuwa analeta kiasi fulani
Ukiona Mwanaume anapenda Sana slope, hapo ujue Kuna tatizo la kimalezi.

1. Huenda amelelewa na SINGLE MOTHER, afu single mother akawa anapata kipato kwa mgongo wa Wanaume anaokua nao kimahusiano.

Yaani kijana unalelewa na mama anayedanga, Afu ukishakua mkubwa na wewe unatafta mwanamke umdange au utegemee mgawane kipato kuendesha maisha.

2. Au Kuna matatizo Kwenye mfumo mzima wa afya ya mwili, hasa Kwenye mfumo wa hormone za kiume.
 
Hii ni kweli kabisa...Kuna age mate mwenzangu kitaa ..
Mama ake alikuwa hivo hivo kama ulivyosema

Sasa hivi huyu marioo anadangaa
 
Mke wako ameshapata washauri wa nje, kwakuwa mlikubaliana mwanzo kufanya hivyo wala isingekuwa shida ila kwakuwa mwenzio kagoma sio sahihi kumlazamisha akusaidie.
 
Mimi nafikiri wote wawili mawazo yao ni tofauti na kila mmoja ana mtazamo wake. Hii ndoa hata mgogoro huo utaisha lakini mbeleni sioni uhai wake, namshauri mwanaume afanye kazi kwa kujituma sana tena sana aelewe jukumu lake kubwa na kinachosababisha anafanya kazi kwa nguvu na maarifa ni familia yake pamoja na wazazi wake.

Inatakiwa ajibike kujenga nyumba yao na wazazi wake, pili nyumba atakayojenga asikubali mwanamke kuchangia hata cent yeyote na uwanja/nyumba iandikwe jina la mtoto ili kuepusha sintofahamu ya mbeleni.
Wavunje ndoa kila mtu akajengee wazazi wake akipenda halafu akajijengee mwenyewe. Dalili ya mvua ni mawingu hakuna ndoa hapo
 
Hii ni kweli kabisa...Kuna age mates mwenzangu kitaa ..
Mama ake alikuwa hivo hivo kama ulivyosema

Sasa hivi huyu marioo anadangaa
Kabisa
QMtoto wa kiume kukosa malezi ya baba Ni failure kubwa sana kimalezi.

Unatengeneza kijana laini laini asiyeweza kusimama kwa ukakamavu Kama mwanaume.

Chunguza pia vizuri,
Wanaume wengi MASHOGA, Wengi wao wamelelewa na Single mothers Wadangaji.

Mama mda mwingi anautumia Kwenye dressing table kujipodoa, na mtoto yupo anaona.
mama mda mwingi anautumia kuomba omba pesa kwa wanaume, na mtoto yupo anaona.
Mama mda mwingi anautumia kusafisha kucha, wigi na miguu na mtoto yupo anaona.
Mama mda mwingi anautumia kusafiri huku na kule Dubai,beijing n.k akila Bata bila jasho, na mtoto Yuko nae anaona.

Hapo lazima upate mwanaume laini laini, asiyependa KAZI ngumu na anayependa maisha mazuri.

Mwisho wa sikU na yeye atatamani apate mtu wa kumpa Bata ZILe mama Ake alkua anapata, mwisho wa sikU mtoto anageuka sio riziki Tena
 
Daaah iko deep sana hii
 
Kamselelekoo kamselelekoooo

Kwa maana imeandikwa"kuanzia sasa mwanaume utakula kwa jasho lako,nawe mwanamke utazaa kwa uchungu"

Wanaume msipingane na nature

Hakika nawaambia,nature haidanganyi!!!!

Mnapooa mkae mkijua mnajiongezea majukumu.baba ndie kichwa cha familia,chakula,malazi,usalama wa familia ni jukumu la baba

Kupigia hesabu kipato cha mwanamke ni u Fala.ili uendelee kuwa kichwa,achana na hela ya mwanamke.

Yeye mwenyewe anaona hali yako ya kiuchumi, akiamua kutoa ni yeye akiamua kuuchuna ni yeye.

Kumtunza mkeo ni jukumu lako,haijalishi ana kipato au laaa!!

Sasa unataka kuwa kichwa cha familia wakati hufanyi majukumu yako sawa sawa ,itawezekana kweli????

Unataka kuwa final say ndani ya nyumba kwa hela uliyochanga na mkeo kaipata kwa jasho lake kweli???????

Kwenye hiyo ndoa mwanaume kashafeli tayari.

MWANAUME WA KWELI ANATAMBUA MAJUKUMU YAKE NA KUYATEKELEZA.

Nature nature nature.
 
Ela ya mwanamke inaweza kutumika kwenye ujenzi wa Nyumba yenu wanandoa na sio Nyumba ya Wazazi wa mume.
 
Ela ya mwanamke inaweza kutumika kwenye ujenzi wa Nyumba yenu wanandoa na sio Nyumba ya Wazazi wa mume.
 
Vijana wa siku hizi nao wamezidi wanapenda slope sana yaani mtu anaoa kwa target kwamba huyu kila mwezi atakuwa analeta kiasi fulani
Kama alisomeshwa Chuo na kutafutiwa kazi na wewe Mume ni sawa tu kwa hizo Slope. Ila kama alisomeshwa na wazazi mtelemko hauna nguvu
 
Hivi kwani ni lazma nijenge kwa wakwe?
Aisee hizi kabila nyingine kumbe kuna kazi hivyo
 
Wanaume wenyewe hawa ambao hawasomeki,unachukua kaela chako cha mkopo unajenga kwao nyumba ikiisha anakupiga bonge la tukio na mchepuko wake!
Nashauri kila mtu ajenge kwao kuepusha vurugu!
 
Hekima inabidi itumike hapo kama ninge pata fulsa ya kumshaur mwanaume ninge mwambia asi huzunike miyoni mwake amuachie tu hio pesa mwanamke ajenge kwao na ww hio pesa ulio nayo usijenge kwenu kanunue kiwanja ujenge kwako kwanza kunahekima ndani yake
 
Wanaume hebu tupambane jamani majukumu yetu tusiyakimbie ww mwanamke km hataki kukupa vyake mwache ww pambana.Mimi mke wangu nimempa mtaji na katoboa mpaka hua anaona aibu maana hua simhangaishi napambana na hali yangu mpaka imefika mahala nakuta ananimbembeleza nichukue hela nifanye kitu maana hawa watu ukijilegeza watakudhalau mpaka utashangaaa.
 
Back
Top Bottom