Chelsea mkiruhusu kufangwa game ya liverpool mjue mnaweza maliza wanne kwenye ligi kuu kuweni makini maana inaokana mnajua kukamia bigi mechi tu na kufungwa na ndogo! Tunza maneno haya
Na huyo moureen wenu anayemdharau mr bean(wenger) asipoangalia huyo mr bean ataonekana mwenye mafanikio msimu...
WanaCCM wengi mnaompinga Warioba mnakosea sana hasa mkijidanganya na feki IDs! Hamjiulizi inakuweje mapendekezo kutoka kwenye mihili ya serikali ilipendekeza serikali tatu mfano Ofisi ya spika,Ofisi ya waziri mkuu,Ofisi ya makamu wa Rais na nyingine nyingi
Nafikiri hata ofisi ya Raisi ingetoa...
SITTA ndo habari ya mjini nasikia mlitaka wengine lakini mkasikia atachukua fomu kivyake! Baada ya hapo mkaona anakubalika wahafidhina wakaamua kumfuata baada kuona atawashinda kwa vile anakubalika sana Chezea mzee VIWANGO
Huu ni wakati wa kuthibitisha kama kweli anaweza na atafanikiwa hilo kwa kuweka usawa kwa wajumbe wa pande zote
Akisimamia vizuri itamjenga kisiasa kwa wananchi bila kufuata itikadi za kisiasa lakini kwa wajumbe wa chama tawala ambao wanataka upendeleo fulani inaweza kumtesa kwenye mbio za Urais...
Me ninaona kama uongozi uliishamshitukia hivi hamjiulizi kwanini alivuliwa nafasi yake ya kuwa kiongozi wa jopo la wanasheria wa CDM na kupewa Tundu Lisu?
Wakati hili linafanyika ilikuwa kipindi wakina M walikuwa wametajwa na kukiwa na mgogoro.
Hii Inchi ya kisenge sana wanachaguana kwa kujuana tu ninashangaa wanachanguana kwa kujuana inakuaje wanachaguana kwa kujuana tu wasiangalie uwezo alafu wanaweka vibaraka wa kutetetea? Me mkurya kaa. Mma ua ua ua kama chacha Wangwe siogopi?nilizaliwa siku moja nitakufa siku moja watakao niua...
Hakika hii Nchi sijui tumelaaniwa nashindwa kuelewa au ni maandiko yanatimia? Nyakati za mwisho watu watakuwa wakujipenda wenyewe! Maana mwalimu anayesota miaka 30 hafiki huko hawa wabunge miaka mitano tu au kwa vile wanapitisha wao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.