Recent content by itel mkulasi

  1. itel mkulasi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye anusurika kupinduliwa akitoka kwenye mkutano wa UNGA 2023

    bahati nzuri siku hizi mpk hawa hawana amani kbs mi nilijua ni sisi akina kapuku ndo tuna hofu make ukizubaa kdg tu demu wako kachukuliwa
  2. itel mkulasi

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu hakuna Riba Rais Samia tujielekeze sana kukopa huko

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]acha basi masihara mikopo yao bora hata ya wazungu si yale ya kutaka bandari iwe yao hapo bado ngorongoro
  3. itel mkulasi

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

    kuna mamb ukiyasikia unaweza kucheka[emoji2][emoji2] kama hili la wema kuwa na miaka 33 ***** hata mama ake nae alikuwepo yaan anasheherekea party fake ndo maan aliamua kuvuruga maan kamchoka kufake maisha na umri
  4. itel mkulasi

    JamiiForums Tanzania Mwamnyeto kuzikosa mechi muhimu sana za Al-Merreikh ni fundisho kwake na wazawa

    kuna kazi halaf kuna life binafsi ya mtu hivi vitu usivichanganye yule anafanya kazi kwa mkataba elewa hilo
  5. itel mkulasi

    JamiiForums Tanzania Mamelod Sundown kujiondoa Afrocan Football League

    wazungu wao waliikataa hii michuano sasa sijui tumeipendea nn? bahati nzuri bosi wa CAF ndo mmiliki wa mamelod
  6. itel mkulasi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Mwendokasi Dar nunueni mabasi!

    serikali ipi unaiambia ww? hakuna kinachoendelea bongo hii pasua kicwa
  7. itel mkulasi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    be serious[emoji16][emoji16]
  8. itel mkulasi

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha kug'aka ovyo. Wewe unajulikana fika ni msaliti

    siku zote mbwa mtupie mnofu wa nyama hatobweka kbs
  9. itel mkulasi

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

    hii jinsia inataka ibembelezwe kwenye kila kitu na ww unahitaii kulambwa mabanzi ya uso unamjaribu vp mtu kwa kumuambia tuachane?
  10. itel mkulasi

    JamiiForums Tanzania Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

    urais ni taasisi na taasisii ni zaidi ya mtu mmoja
  11. itel mkulasi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

    Oya nina kifaa changu hapa kinasumbua kwa hili tatizo
Back
Top Bottom