Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,166
Kwa mkazi wa Dar na mtumiaji wa usafiri wa Mwendokasi atakubaliana na mimi juu ya uchakavu wa haya mabasi na uchache wake hasahasa wakati wa mida ya asubuhi watu wanaenda kazini na jioni watu wanatoka kazini! Kwakweli ni kero!
Inamaana miaka hii yote makusanyo mnayapeleka wapi? Mmeongeza nauli mara mbili ndani ya miaka miwili lakini huduma kila kukicha inaendelea kuwa kero! Mnashida gani nyie waswahili?
Halafu eti mabasi hayo hayo myagawe muwapelekee wa route ya Mbagara?