Mkuu, kwa huo mshahara hapa, unaweza pata lakini usishangae kukufanyia jambo la ajabu siku yoyote, kama mshahara utaongeza mpaka 90 elfu nipigie simu kwa namba 0716863406 mimi kuna mdada yuko Singida aliniambia nimtafutie kazi za ndani, nilikuwepo huko wiki jana na jumatano naenda huko kikazi so...