Ninashida ya mtu anikopeshe milioni 15, naweka nyumba bondi ipo Chamanzi dar es salaam
Fanyia kazi wazo hili tafadhari.Mkuu kaa chini ufikirie tena hicho unachotaka kufanya maana kuweka bondi nyumba kwa 15ml ni risk kubwa sana kwa wakati huu,sijui unataka kuzifanyia nini hizo hela but Kama ni mtaji wa biashara hasa mpya nakushauri tuu kipindi hiki utulie labda biashara iliyo clear kabisa kwamba ushapata mteja unachukua mzigo then anakukeshi papo kwa hapo.