Ahsante kwa taalifa,nitapita niwape pole jumatano,nitakuwa naenda USUNGA na LEMBELINatokea kwa nadra sana hapa leo. Pilika pilika nyingi kidogo.
Mkuu huu ni msiba wa tangu 2013 ni sawa but ..utatonesha kidonda!Ahsante kwa taalifa,nitapita niwape pole jumatano,nitakuwa naenda USUNGA na LEMBELI
Si watu wengi huwa wanaangalia tarehe kabla ya kupostMnairudishaje habari ya msiba wa mwaka 2013 kama kwamba umetokea leo?