herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
- Thread starter
- #21
everyone has the otherside..akikwazwa!MTU mwenyewe unaonekanaa mbabeee wakati unashidaaa ya kupataa msaidiz wakazi
everyone has the otherside..akikwazwa!MTU mwenyewe unaonekanaa mbabeee wakati unashidaaa ya kupataa msaidiz wakazi
kila thread lazima ucomment?nenda facebook utawapata
kila thread lazima ucomment?
Habari wanajamvi
Natafuta mdada wa kazi,
Sifa/Majukumu:
*Awe mwenyeuhitaji wakazi
*Athamini kazi yake na hasi-ifanye kwa mazoea,siku zote.
*Mchapakazi
*Ajue kupika vyakula mbali mbali na kuaanda juisi/maji safi ya kunywa.
*Awe Msafi binafsi na msafi wa nyumba
*Awe msikivu,muelewa na asiwe mtu wakuzurula au ushirika na watu pasipo nasababu za msingi.
*Ajue kusoma na kuandika
*Awetayari kufanya kazi kwa muda wa zaid ya miaka miwili.
*Asiwe mtu wa magenge/maneno na porojo.
Mazingira ya kazi:
*Eneo😀ar Es Salaam,Mbezi Beach
*Nyumba wanaishi mke na mume(vijana)
*Uwezekano wa mtoto siku za mbele,hivyo awe tayar kusaidia katika shughuli za hapa na pale zinazohusiana na mtoto.
Mshahara:
*Elfu hamsini Kwa Mwezi
Kwa mwenye ndugu au jamaa au anayepatikana humu,na ana uhitaji naomba ani-PM.
nenda facebook utawapata
Asante Mwana kwa ushauri,tutautafakariMshahara wa THS 50,000.00 ni mdogo halafu mnategemea mtoto hivi kazi za nyumbani puls za mtoto jamani ni nyingi mno. Ni vema ukasikiliza ushauri wa wachangiaji as kwa kweli THs elfu 50ni ndogo kwa kweli!
Asante sana mkuu,sema kwa sasa hiyo ndio budget tunayoimudu.Mkuu, kwa huo mshahara hapa, unaweza pata lakini usishangae kukufanyia jambo la ajabu siku yoyote, kama mshahara utaongeza mpaka 90 elfu nipigie simu kwa namba 0716863406 mimi kuna mdada yuko Singida aliniambia nimtafutie kazi za ndani, nilikuwepo huko wiki jana na jumatano naenda huko kikazi so kama utakubali ombi lake hilo kuhusu malipo tuwasiliane tufanye taratibu za kumsafirisha,
NB: Ni mtu mzima anaejielewa approx ni miaka 23-24
utakuwa ujaelewa tangazo mkuu,mtu ninayemtafuta na sifa zake...kuhusu bei,kila mmoja huwa na bei yake,kwa kizungu wanasema "everyone has price"Mitaa ya Mwananyamala B kuna wahaya wengi tu wanatafuta kazi za ndani haswa beki 3 wa kiuhalali, na pale Sinza kuna kila aina ya makabila wanataka kuwa wadada wa nyumbani/beki tatu kwani siku hizi hakuna hela tena za wizi serikalini na njaa kali. Fika tu Sinza au Mwananyamala B muda wowote, utaona wadada wamekaa kihasara hasara kukimbilia wanaume ili waajiriwe. Lakini hapo kwenye mshahara, naona ungeongeza kidogo kwani wenzako wanapata hizo 50,000 kwa masaa (siku) kama msimu ni mzuri.
siku ukifanana avatar yako...njoo ucomment each thread and reply wakuone vizuri...unao watafuta!Kila comment lazima ureply??
mkuu tufanye kitu kwa uhalisia mshahara wa elf50 wewe ungefanya, umuhimu wa dada wa kazi ni mkubwa sana lakini hatuwathamini, kama walimu vileunakuta mtu kama wewe hunakazi...
let me give you one principle, everyone has price...so ukioni wewe haikufit,piga kimya!
siku ukifanana avatar yako...njoo ucomment each thread and reply wakuone vizuri...unao watafuta!
wadada wa da'salamu hamjifichi...HA HA HA A kwa raha zangu na ndio naendelea kama ifuatavyoo....
mkuu hii sio scale ya serikali,malalamiko ya walimu ni kwa serikari sio kwangu!mkuu tufanye kitu kwa uhalisia mshahara wa elf50 wewe ungefanya, umuhimu wa dada wa kazi ni mkubwa sana lakini hatuwathamini, kama walimu vile
Kama una budget ndogo achana na maisha ya wenye budget kubwa.Asante sana mkuu,sema kwa sasa hiyo ndio budget tunayoimudu.