Godoro na kitanda vinauzwa

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
10,321
18,543
Kitanda chenye size 5*6
Mbao za mtondoo
Muundo wa box/hakina nafasi ya kuingia uvunguni.

Godoro 5*6 QFL-Dodoma
Unene ni inches 8.
Vipo Pugu kajiungeni Dar es Salaam.
Bei 300,000TZS.( kuna mazungumzo).

Vitu vimetumika kwa miezi minne tu
Sababu ya kuuza: Mwenye navyo amehama mkoa hivyo hataweza kuvisafirisha kwenda mkoa maana ni mbali sana.
Mawasiliano: PM

Karibuni serious people only
8c3bd2cb378467d8dc680761de1018a8.jpg
dd60e60fd84ae1919d331d72d4ffb532.jpg
82dfac6a4cb2737a2cf356c6384afbb8.jpg
54305db4d6d8392783ebf71a3e65248e.jpg
38b143bf52b07ff39a8f7e7c8b581465.jpg



VIMEUZWA TAYARI WAKUU
 
mkuu mbona kinaonekana kama cha ft4?? mimi nipo mkoani utaweza kunitumishia?? kama ni ndiyo njoo pm tuelewane bei
 
mkuu mbona kinaonekana kama cha ft4?? mimi nipo mkoani utaweza kunitumishia?? kama ni ndiyo njoo pm tuelewane bei
Hicho ni ft 5 mkuu na simply huwezi kusema ni ft ngapi kwa kuangalia hiyo picha hapo, cha kuzingatia niamini hicho ni ft 5*6 nilikinunua mwenyewe naww ukininunua utaona ni size gani
Kukutumia mkoani siwezi labda kama una jamaa yako achukue akutumie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom