Recent content by issaya michael

  1. issaya michael

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Samehe 7 Mara 70 japo nashaka wewe huwezi kushika mimba kwa muda mrefu
  2. issaya michael

    Pesa za sherehe ya Muungano iliyoahirishwa zigawiwe sawa Tanzania bara na Zanzibar

    Viti maalumu nao wanatafuta kick ya kupata ubunge rasmi
  3. issaya michael

    Yupo wapi Fatma Shemweta wa Bonga na Star, Star TV?

    Mbona kama yuko azam TV. Wengine watasema limetekwa na peneshee moja na limemtupia ndani
  4. issaya michael

    Mshahara wa Rais haupunguziki kisheria

    Haaaah Asante kwa kuwafungua macho mashabiki waupepo
  5. issaya michael

    Gigy Money: Ney wa Mitego ni mpumbavu, hajitambui

    Hela ndogo hiyo ukicheza movie moja ya ngono unaweza kununua hata nyumba
  6. issaya michael

    Afumwa akifanya mapenzi ofisini

    Dah mshikaji kaenda kujinyonga
  7. issaya michael

    Rais Magufuli Anaishi Maisha Halisi ya Mtanzania

    KuanZia safari zake mpaka maisha yake hamlingani hata kidogo. Kingine wewe ukisema husikilizwi
  8. issaya michael

    Kaniambia eti mimi ni handsome! Nimeshangaa sana

    Nipe namba yake ni muulize vizuri
  9. issaya michael

    Kaniambia eti mimi ni handsome! Nimeshangaa sana

    Kaka show zako Ndio handsome sio wewe
  10. issaya michael

    Pesa za sherehe ya Muungano iliyoahirishwa zigawiwe sawa Tanzania bara na Zanzibar

    Jamani hii awamu hii imekuwa ya kihaya Sana. Kuanzia chini mpaka juu wote kick. Kama radio mawingu. Jana hakuna kuuza samaki nje leo wanauza nchi Tena Burundi... Hahaha nchi ya wahaya
  11. issaya michael

    Ushauri: Rais Magufuli mfutie kesi kijana huyu

    Chezea Magufuli mwenye chembe chembe ya uhaya. Mwendo wa kutengeneza kick na kudeal na vyombo vya habari mpaka mkome mwaka huu. Raisi Hana tofauti na kutafuta kick kwenye magazine kama wema sepetu
  12. issaya michael

    Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

    Jamani warda sio ndugu yake WA damu . Wamekutana mjini mjini pia warda simuathirika kapewa ukimwi na kiongozi WA bend moja ya taarabu.
  13. issaya michael

    Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

    Mwenye nacho ataendelea kuongezewa
  14. issaya michael

    Haki ya Msingi ya Kusikilizwa kwa Anne Kilango Malecela!

    Haaah haaah ccm maigizo yenu kama tamthiria ya kihindi yenye uwezo wa kubeba hisia. Haaah haaah mkuu wa nchi ndio yuko salama haaah hivi punguzo LA mishahara ya kutoka million 40 mpaka 15 zinaenda wapi vile au ujenzi wa Bara Bara za mwanza
Back
Top Bottom