Mshahara wa Rais haupunguziki kisheria

Mshahara wa Rais haupunguziki kisheria

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Kuna jambo moja watu wengi tunakosea tunapenda ushabiki wa mambo ambayo hayana ualisia kwa mfano Rais alitangaza kushusha mshahara wake mpaka ML9. Tulishangilia laikini cha kushangaza katiba ya JMT imeka wazi...........

"Masharti ya kazi ya Rais
Sheria ya 1984 Na.15 ib.9.

4. (2) Mshahara na malipo mengineyo yote ya Rais
havitapunguzwa wakati Rais atakapokuwa bado ameshika
madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii."
 
Siyo Bibilia ila kubadilisha kipengele cho chote kilichomo kwenye katiba unahitaji theluthi 2 za wabunge na conssent ya rais. Kwenye bunge letu CCM ni robo 3, UKAWA ni robo na rais ni wa CCM. Hivyo hutaweza kukibadili hicho kipengele hadi pale UKAWA itakapokuwa na theluthi mbili bungeni na rais awe UKAWA. Democrasy is the government of the majority by the majority and for the majority. The minority (ukawa) have no say!
 
..hizo milioni 9.5 azilipie kodi.

..tra hawawezi kukataa kodi hiyo.

..raisi akifanya hivyo atajiweka karibu zaidi na wananchi.
 
Siyo Bibilia ila kubadilisha kipengele cho chote kilichomo kwenye katiba unahitaji theluthi 2 za wabunge na conssent ya rais. Kwenye bunge letu CCM ni robo 3, UKAWA ni robo na rais ni wa CCM. Hivyo hutaweza kukibadili hicho kipengele hadi pale UKAWA itakapokuwa na theluthi mbili bungeni na rais awe UKAWA. Democrasy is the government of the majority by the majority and for the majority. The minority (ukawa) have no say!
Yaan kwa akili zako unataka kutushawishi kwamba lowasa angekua rais na 2/3ya bunge ukawa, angepunguza mshahara? Ni uzalendo gan wa hawa watu akina mbowe ambao mpaka sasa wanapokea pesa za kukaaa, kukaa mtu Analipwa!? Alafu leo unatuambia eti atajipunguzia mshahara?! Huu ni ulaghai wa hali ya juu. Wapo watu wanacredibility ya kuweza kuchallenge suala la malipo ya rais, kama akina Zitto; wewe mshahara na malupulupu yako ni siri alafu unamshinikiza mwenzako ataje/aweke waz! ...... Lisu
 
Siyo Bibilia ila kubadilisha kipengele cho chote kilichomo kwenye katiba unahitaji theluthi 2 za wabunge na conssent ya rais. Kwenye bunge letu CCM ni robo 3, UKAWA ni robo na rais ni wa CCM. Hivyo hutaweza kukibadili hicho kipengele hadi pale UKAWA itakapokuwa na theluthi mbili bungeni na rais awe UKAWA. Democrasy is the government of the majority by the majority and for the majority. The minority (ukawa) have no say!
Kwasababu wao ndio wengi,unafiki wao na wa serikali yao utajidhirisha kwa wanachi
 
Kwa hiyo Rais alidanganya umma
Wewe unauona ukweli wowote kwenye hiyo milioni 9. 5? Yaani azidiwe mshahara na spika wa bunge au meneja wa vodacom. Jiongezeni kwenye mambo mengine sio mnasadikishwa kila kitu.
 
Mshahara wa rais haupunguzwi haya tuambie analipwa shilingi ngapi
 
Kuna jambo moja watu wengi tunakosea tunapenda ushabiki wa mambo ambayo hayana ualisia kwa mfano Rais alitangaza kushusha mshahara wake mpaka ML9. Tulishangilia laikini cha kushangaza katiba ya JMT imeka wazi...........

"Masharti ya kazi ya Rais
Sheria ya 1984 Na.15 ib.9.

4. (2) Mshahara na malipo mengineyo yote ya Rais
havitapunguzwa wakati Rais atakapokuwa bado ameshika
madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii."
Kuna aliyetaka kupunguza mshahara wa Rais? Na Rais alitangaza kushusha mshahara au alitangaza mshahara wake anaoupata?
 
Sheria zetu hizi shida tupu kuna watu walitengeneza hizi sheria kwa manufaa yao wenyewe lakin kwa rais wangu magufuli nategemea ataleta katiba mpya utumbuaji uwe kwenye ubora zaidi
 
"Masharti ya kazi ya Rais
Sheria ya 1984 Na.15 ib.9.

4. (2) Mshahara na malipo mengineyo yote ya Rais
havitapunguzwa wakati Rais atakapokuwa bado ameshika
madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.

Sasa Je ni wakati gani vinaweza kupunguzwa? Maana at anytime lazima kuna Rais yuko madarakani. Au anatakiwa ampunguzie anayekuja?
 
ndiyo maana yake
 
Kama mshahara wa rais ni milion 9.5,Hiv rais wa awamu ya nne alipata wap pesa za kumlipa kocha wa timu ya taifa (taifa stars)milion 26 kila mwez bila kod,kocha wa netball,kocha wa ngumi?Achen uongo rais mshahara wake ni zaid ya hapo.
 
Back
Top Bottom