Yupo wapi Fatma Shemweta wa Bonga na Star, Star TV?

ranjan

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
338
288
Leo nimemkumbuka tu huyu dada, nilikuwa napenda sana kumuangalia enzi zile.

Hivi yupo wapi Siku hizi? aliacha kazi Star TV?Mwenye kufahamu anijuze tafadhali.

Dah! Star TV mmeondoa watangazaji wa zamani wote
 
Mi namtafuta Faith Manyaki tulisoma nae Shabaan Robert. Kama yupo kwenye taarifa zake naomba ani PM tafadhari
 
wewe si bure yawezekana alikuwa mteja wako wa vipodozi maana kwa kujichubua akajambo.
 
Nadhani nemewahi kumsikia TV 1 kama sikosei....au labda nachanganya na Husna Mlanzi sijui.......
 
Na kuna yule mwingine alikuwa anaitwa Saida Mwilima naye sijui amepotelea wapi
 
yuko Mwanza kajaa tele, ukibahatika kwenda Mwanza utakutana nae sana town,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom