Recent content by israel masisa

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mtaji ni 1000,000 tu biashara ni stationary

    tulia mkuu wenye uelewa na izo dude waje wakueleweshe
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nataka ungano

    hello umu ndani! mie mgeni in great thinker naomba mwito wenu odi!
  3. I

    JamiiForums Tanzania Sifa na tabia za mabinti na wanawake wa Kihutu.

    daa! maneno mabovu ya nini wakuu? cha msingi sisi sote ni wana-adamu...watoto wa baba 1 mkuu we beba mali hyo!
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wazo la kujiajiri

    Ehee! aya bwana.. mafanikio katika maisha ayahusiani na kukalishwa katika mabenchi na kuanza kukaririshwa na teacher class wako! jamani bdo tu tuna ule ulimbukeni.. (soma sana uajiriwe uwe na maisha mazuri?) duu tanzania bado.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

    chama cha mapinduzi. na "CHAMA CHA 'DEMOCRACY NA MAENDELEO. KIPI CHAMA KINACHOPASWA KUPEWA LAWAMA NA KUPINGWA KWA 98%? tuwe tunaangalia mifumo sio mtu..
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu wa Mwanza hawapendi kutumia vyoo kujisaidia?

    unaongelea "rock city.? au dar es salaam.. au aujui mwanza wanataka kuifanya kama dubai..wageni na wazawa wanatambua jiji hili ndo maana wengi ukimbilia uku.!
  7. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Magufuli ameanza na hatua nzuri lakini adhibitiwe

    aya bwana! zitto na waheshmiwa woote.watanzania macho kwenu sijui mtawadanganya nini,, hongereni sana wana_TANZANIA kwa kuwa na akili timamu ya kuchanganua mambo kwa umakini..
Back
Top Bottom