Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

...na ndivyo ilivyo...KAMA UNA BISHA. ..Ninakupa case-study ni ZEC ya Zanzibar.
..ZEC na NEC wanafahamiana, tabia zao ni zilezile.

Kifupi ni kwamba, INABIDI, either..
1. Ujitoe Ufaham,
2. Uwe na maslahi binafsi OR
3. Uwe insane
4. Uwe ni mfanyakazi nyuma ya ccm

.....ndipo unaweza kuitetea ccm.

Vinginevyo, HAUWEZI.

Wengi ni insane hata wale waliokuwa wakiaminishwa kwa miaka nane fulani ni fisadi,ila ndani ya wiki chache wakaaminishwa tena ni msafi na anafaa kuleta ukombozi.
 
Tatizo kuna watu wanataka kujustify makosa makubwa ya kubinafsisha urais kwa Lowasa ...Chadema ilikuwa inaiondoa CCM kwa hatua na hesabu zilikuwa zinaelekea kutimia hata kama si uchaguzi huu ...sasa tunajisafishaje mbele ya umma? Watanzania ni werevu mno tusijidanganye ...tumeharibu wahusika wawajibike tujenge upya chama kabla hakijafa kifo cha NCCR ....mbiu ya UKAWA ndio imeshajifia ...tunarudi tulikotoka ...

Ushabiki ndio unatucost nchi hii. Mtu kama ni chadema au ccm haangalii reality anaweka ushabiki tu
 
Napendekeza mh Mboye aongezewe miaka mingine kumi ya kuwa mwenyekiti wa chama pendwa..
 
Tatizo kuna watu wanataka kujustify makosa makubwa ya kubinafsisha urais kwa Lowasa ...Chadema ilikuwa inaiondoa CCM kwa hatua na hesabu zilikuwa zinaelekea kutimia hata kama si uchaguzi huu ...sasa tunajisafishaje mbele ya umma? Watanzania ni werevu mno tusijidanganye ...tumeharibu wahusika wawajibike tujenge upya chama kabla hakijafa kifo cha NCCR ....mbiu ya UKAWA ndio imeshajifia ...tunarudi tulikotoka ...

Nenda kaisafishe ccm yako.masuala ya chama chetu tuachie sisi .
 
Tumeshashitukia mchezo wala tusiongopeane kuwa tanzania kuna vyama vingi,ni vyama vinaanzishwa na ccm wenyewe kuonesha jumuiya za kimataifa kua kuna demokrasia vikishajitambua vikaanza kuitafuta democrasia ya kweli vinauliwa vinaanzishwa vingine mfano act, baadae vikiwa popular vinamalizwa, hakuna haja ya kukaa kwenye foleni kuungua jua kwenda kupiga kura za kipumbavu,cku wamarekani wakitaka vyao ndo wataweza kumuondoa mkoloni mweusi,sababu hata katiba ambayo ndo ingekua muarobaini waliikataa na saiv bungeni wao ni wengi, hata huyu magufuli watamshinda tu pamoja na misimamo yake.
 
kwa hiyo mliweza kshinikiza wabunge 30 tu ! ........kulinda kura ? mkuu wa Doria alipewa rushwa ?

Haina haja ya kupoteza muda sana ukizingatia mambo yamesharudi kama zamani, tuendelelee na shughuli za kutuingizia kipato. Huu upepo umeshapita.
 
Hawana njaa, wala sio ombaomba waliokosa milo mitatu na zaidi kwa siku.

Wana mahitaji yote ya msingi...vingine hivi, k.v siasa, ni UCHUNGU pekee na maisha magum walio nayo watanzania wengi waishio chini ya MSITARI WA UMASKINI.,...Ambao wengi wao hawazijui haki zao, na hata unyonyaji na dhuluma mnazowatendea.


"There is nothing that'll survive forever....every entity, however strong it may be, WILL PERISH.",.........for the matter of CCM, time will tell for its downfall."

HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA.
wangekuwa hawana njaa wasingenunuliwa na pesa za lowasa kila mmoja anajua hiyo team lowasa ilivyoanzishwa na namna walivyopata wafuasi wao
 
chama cha mapinduzi. na "CHAMA CHA 'DEMOCRACY NA MAENDELEO. KIPI CHAMA KINACHOPASWA KUPEWA LAWAMA NA KUPINGWA KWA 98%? tuwe tunaangalia mifumo sio mtu..
 
Back
Top Bottom