Recent content by Isotonic

  1. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? 🙆🏿‍♂️

    Ngoja waje watume picha ku prove wao sio wabovu sema wamesha fika level ya mishangazi
  2. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Tofauti iliyopo kati ya soundbar, subwoofer, home theater na hifi

    JBL ni zaidi ya burudani wanasema, ila ukinunua kuanzia bar 1000mk2, hakikisha umejenga au umepanga nyumba nzima, na majirani asiwe na pressure ya kupanda utaua mtu upewe kesi ya mada
  3. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Usinunue Soundbar bila kusoma hii

    Kasikilize JBL MK2 yoyote kuania bar 500, au Q series yoyote samsung harafu uje kuandika tena, ndo utajua kuna soundbar system na sub woofer ambazo ni wireless, harafu utakuja useme hisense na AIWA zako
  4. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Flagship Soundbars

    Wazee wa mikitooo mmekimbiaaa jmn hii page, vizio p514a-h6 elevate ni mashine, kama una pesa nunua achana na vile vidogo labda kama unataka kwa ajili ya kusikiliza taarifa ya habari na movie kidogo, ila kama ni mkitooo p elevate, na wenzake akina JBL bar 1000mk2, Q 990D
  5. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Tofauti iliyopo kati ya soundbar, subwoofer, home theater na hifi

    Ulisha wahi kusikiliza mojawapo hata ya hizi soundbar JBL bar 1000mk2 au 1300mk2, Samsung Q990D, au p514a-h6, hata sony bravia smart 6 watts 1000 outputs, Nadhani ungeandika kitu kizuri sana kuhusu soundbar ni zaidi ya burudani ya music
  6. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Usinunue Soundbar bila kusoma hii

    Soundbar yoyote ile ya chini ya 500K, usitegemee miujiza labda unajifurahisha kuwa nawe una bar ndani kwako, Haya madude ya kuanzia 1M, 1.5M or 2M+ ni habari nyingine dah
  7. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu na soundbar za Vizio

    Hatimae nimehamia kwa p514a-h6 elevate, hii ni machine ubaya wake unaweza bomoa nyumba ukiwa hujui maana kinacho tokamo ni kizuri sana, hujutii kutoa pesa hii ni battle la bar JBL 1000, na JBL bar 1000mk2
  8. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Wazeee wa mikito na Dolby audio futures
  9. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mchezo mgumu sana huuu, ila hela yake tamu
  10. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Musoma: Polisi Wawatawanya kwa Mabomu ya machozi BAWACHA

    Si nasikia leo ni siku yao Duniani imekuwaje watu wanasherekea kwa mabomu badala ya vigele gele
  11. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Basi hongera kuna watumiaji wa simu na watunza simu, inawezekana ww ni mtunza simu tu, kwa maana mwingine 24hrs yupo online. Ukisema simu inatunza chaji sijui unatumia kigezo gani mfano, kupiga na kukata au nn
  12. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

    Tuone uchi wenyewe, Maneno bila ushahidi ata ka picha ni umbea tuu wachie warumi na akina cocostics
  13. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Ok sawa
  14. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Kisa umekaa nayo miaka 7 unasifia kuwa inakaa na chaji, Tafuta hela hata kama utasema unazo zitakuwa za mashariti
  15. Isotonic

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mojtaba Ali Khamenei kumrithi Ayatollah Ali Khamenei baada ya kuuawa baba

    Sawa tu kama huku watu wanaridhishana kiti cha uraisi kwani wao wakifanya kuna shida ?
Back
Top Bottom