mkuu Balatanda je waweza tupia list ya vijana humu jamvini? maana wakuu wengine tupo mbali sana ya tv. Halafu hii timu yangu ya wananchi (Yanga) kiwango chake cha leo kikoje?
Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu
Yes he is going to be the president of rwanda, kenya and uganda. But us in tanzania, and burundi we dont need him as a president and we hate him with passion
big up sana father Mapunda. Waambie ukweli mtupu kwakuwa ukweli pekee ndio utatuweka huru . CCM waache propaganda eti kusema Tanzania ni kisiwa cha amani. amani gani bwana? watu wana utulivu na sio amani kwasababu hali ya maisha ya watanzania ni mbaya sana na nchi yetu inakila rasilimali...
Huu ni upumbavu na uppuzi mwingine wa Kigwangalla na Job Ndugai. Nchi yetu ni masikini kwasababu ya tafakari za kijinga kama hii ya kigwangalla. Hakika kigwangalla na Job Ndugai wanastahili kutupwa Jehanam
Duu Mkuuuu wewee ni kiboko hii imenivunja mbavu zanguuu, kwani hizo condom alikuwa anaenda kuzitumia kwenye mkutano wa kampeni? Sasa ninajua kwanini huyo jamaa anakuwa anaumwaumwa lazima atakuwa amekanyaga gridi ya taifaaaa
wakuu kwakweli inasikitisha sana kwa jinsi nchi yetu ilivyotengwa na kudharauliwa kiasi hiki. Lakini mimi ninafikiri kuwa hakuna jambo linalotokea pasipo sababu maaalumu. huwezi kujua mungu anatuepusha na kutupangia nini huko mbele, labda ndio njia pekee kabisa ya sisi kujifunza na kuacha...
Ni kweli mkuu umenena vema Yanga wanatakiwa wawe makini na hujuma zote zinazotolewa na marefa. Kwa mfano jana yanga walihujumiwa na refa ambae aliwaacha costal union wacheze rafu za makusudi na hivyo kuharibu ladha ya mchezo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.