Ntakutafuta tufanye biashara, I hope bei zenu ni affordable Kwa mtaanzania wa kawaida! Sio bei za kifisadi wala za kitaliii....! I'll give you a call very soon.
Weka namba ya simu hapa tufanye mawasiliano! Inawezekana kabsa tukafanya biashara! Mambo ya PM ya nini wakati unafanya biashara halali - weka contacts zako hadharani!
habari wadau!
Msaada wadau, nimeangusha simu yangu aina ya iPhone 4S, na imepatwa na tatizo la display! Inavyoonekana vitu vingne vina- function Kama kawaida. Mtu akipiga simu inaita Kama kawaida na maongezi yanafanyika Kama kawaida, tatizo ni display tu haioneshi kitu, kumetokea Kama three...
Mbona kuna job positions kibao serikalini na private sector watu wanaajiriwa bila ya experience yoyote, tena wakiwa wabichi kutoka chuo! Suala la experience inategemea na job positions unayoomba, na haliepukiki! Sasa wewe unataka uajiriwe hata kwenye
Managerial positions kama u-director bila...
Njunwa wa mavoko, nimejaribu ku-connect hii internet kwenye iPhone (iOS 7), mida flan ya mchana ilikuwa powa, lakini kwa sasa kila nikijaribu inakataa. Nimebadili sever kibao, lakini bado bila bila. Msaada kwa hii issue will be highly apreciated. hapaa inaonekana kama vile hivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.