Ni lini serikali yetu itaondoa habari ya five years experience?

Ni lini serikali yetu itaondoa habari ya five years experience?

Joined
Jan 3, 2014
Posts
24
Reaction score
4
Habari zenu wana jf, hivi serikali imewahi hata kuzuia habari ya makampuni na serikali yenyewe kuhusu kuajiri watu wenye experience tu? Maana hapo ndipo rushwa inapoanzia.
 
Mbona kuna job positions kibao serikalini na private sector watu wanaajiriwa bila ya experience yoyote, tena wakiwa wabichi kutoka chuo! Suala la experience inategemea na job positions unayoomba, na haliepukiki! Sasa wewe unataka uajiriwe hata kwenye
Managerial positions kama u-director bila hata experience yoyote?! Hiyo institution si utaiingiza kwenye matope! Sikukatishi tamaa, endelea kutuma application Kwa saana, ipo siku flan na wewe utatoka! All the best
 
Back
Top Bottom