Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

mkuu kwa wale wa part B hkuna alyefanikiwa hata m1.

wa part nyote mnasubiria nani hafanikiwe ili mpate ujanja toka kwake
kuna mmoja kafanikiwa jana na nimewmwambia akae kimya ale bata mwenyewe ili kila mtu ashughulike kivyake
 
Ungeweka picha ya speed na pembeni NMD VPN ingependeza sana
but thanks for feedback

DDD.JPG
 
kilichopo ni kwamba most servers hzo za kuedit zinakataa kbsaa, sijui kama kuna mtu ambaye imekubali.... afu kaka mkubwa katumia server zote kutoka meteorvpn ambayo server zake haziko wazi, wala information zake kwenye internet hzipo, kuna info za resellers tu kama yeye.. kwahyo ni either hawana wanatumia za client zingine ndio maana hawataki kuwa wazi au wanazo za kwao ila site yao na server zao havipo wazi

Mkuu server za Meteor ziko wazi na ndo nilizozitoa hapo juu tena List nzima iko kwenye tutorial ya simu na ni server 47 na zinaperform zote fresh isipokuwa server kadhaa zina matatizo hizi siku mbili.
Mmiliki wa Meteor VPN nchini kwao ukimiliki VPN unafungwa sababu unapromote Blocking ya censorship walioweka ISP mfano INDIA wame-block Torrent hivo kuwa na VPN inamaa untaka ku-unblock torrent ndo maana server za Meteor VPN hatutaki ziwe wazi BOSS wetu hasijefungwa tukaishia kula UDONGO.

Sanjali na Hilo MeteorVPN hamna sehemu ya kutengeneza Usernem na passwd kama ilivyo VPN nyingine kama Tunnelguru,sandwichVPN,pd proxy
 
Je baada ya kupata connection naweza kushare kwa computer zingine mbili tatu hivi..!!
 
Kiongoz kwanza nskushukuru kwa uzi wa ukweli by nimekwama kwenye stage ya tatu kwenye katika kuunganisha kwenye android
 
Njunwa wa mavoko, nimejaribu ku-connect hii internet kwenye iPhone (iOS 7), mida flan ya mchana ilikuwa powa, lakini kwa sasa kila nikijaribu inakataa. Nimebadili sever kibao, lakini bado bila bila. Msaada kwa hii issue will be highly apreciated. hapaa inaonekana kama vile hivi 2013-09-28 19.53.19.png
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nisaidieni kwenye kuimport coni hiyo openvpn kwenye sdcard
 
Mkuu server za Meteor ziko wazi na ndo nilizozitoa hapo juu tena List nzima iko kwenye tutorial ya simu na ni server 47 na zinaperform zote fresh isipokuwa server kadhaa zina matatizo hizi siku mbili.
Mmiliki wa Meteor VPN nchini kwao ukimiliki VPN unafungwa sababu unapromote Blocking ya censorship walioweka ISP mfano INDIA wame-block Torrent hivo kuwa na VPN inamaa untaka ku-unblock torrent ndo maana server za Meteor VPN hatutaki ziwe wazi BOSS wetu hasijefungwa tukaishia kula UDONGO.

Sanjali na Hilo MeteorVPN hamna sehemu ya kutengeneza Usernem na passwd kama ilivyo VPN nyingine kama Tunnelguru,sandwichVPN,pd proxy

duh mgen umemshtukizia fasta kam mm haha
huyo alofanikiwa kuweka configure za metor vpn kwa server za book vpn na wenzake ajitokeze japo kwa pm ntamlipa mimi kwa setting tu,, me situmii hii nataka kuprove ki2 tu.
 
Mkuu Njuna biashara yako ya buku ten itadoda sasa.
 
duh mgen umemshtukizia fasta kam mm haha
huyo alofanikiwa kuweka configure za metor vpn kwa server za book vpn na wenzake ajitokeze japo kwa pm ntamlipa mimi kwa setting tu,, me situmii hii nataka kuprove ki2 tu.

Hahahahaaaa...... U have to try or see smthing to know if u trully want it or not!!, hzo ni strategies za kibiashara. After all of these chitchat a lot of people will buy it. BUSINESS MIND
 
duh mgen umemshtukizia fasta kam mm haha
huyo alofanikiwa kuweka configure za metor vpn kwa server za book vpn na wenzake ajitokeze japo kwa pm ntamlipa mimi kwa setting tu,, me situmii hii nataka kuprove ki2 tu.

ndo hvyo mkuu hata mm nawait ,,inakua vyema kama unajishungulisha kwa ki2 ambacho unauhakik kinfany kaz.
 
Back
Top Bottom