Msaada kuhusiana na Pd-proxy vpn

Msaada kuhusiana na Pd-proxy vpn

KIDOLEGUMBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
498
Reaction score
110
Habari za wiki end wadau, naomba kusaidiwa suluhisho la ku-disconnect kwa modem mara kwa mara pindi napotumia Pd-proxy, je inaweza ikawa ni tatizo la aina ya modem ama settings za pdproxy ?.
 
Habari za wiki end wadau, naomba kusaidiwa suluhisho la ku-disconnect kwa modem mara kwa mara pindi napotumia Pd-proxy, je inaweza ikawa ni tatizo la aina ya modem ama settings za pdproxy ?.

Nadhani hio inatokana na wewe kutokuweka Hela kwenye Modem !
Jaribu kuweka uone inavyopiga kazi !
 
Nadhani hio inatokana na wewe kutokuweka Hela kwenye Modem !
Jaribu kuweka uone inavyopiga kazi !

Tatizo ela niliyoweka kwenye modem imenyonywa yote kwa kweli! Kumbe modem haitakiwi kusoma 0 Tsh kama inavyosemekana!!
 
Tatizo ela niliyoweka kwenye modem imenyonywa yote kwa kweli! Kumbe modem haitakiwi kusoma 0 Tsh kama inavyosemekana!!

Ndo maana mkuu ! Usitumie modem yako bila kuweka hela(bundle)
haiwezekani ku connect kwa 0 Tsh !
 
Habari za wiki end wadau, naomba kusaidiwa suluhisho la ku-disconnect kwa modem mara kwa mara pindi napotumia Pd-proxy, je inaweza ikawa ni tatizo la aina ya modem ama settings za pdproxy ?.

kama unatumia zantel huo ndo ugonjwa wake ikiwa na 0$
 
Asante kwa kunifahamisha, Tatizo inakera sana na huo ndo mtandao mzuri kwenye ku bridge na iyo kitu!

kwa zile cdma modem lazima ifanye hivyo lk gsm haikati kila wakati, nakumbuka zamani nilikuwa natumia tool moja inaitwa "afd dialer" inafanya auto connect
 
Kaka hicho kizima zima kila dakika 9 kitakupa presha bure weka Bando ule maisha maana hata ukiweka Auto reconnect bado hiyo PDproxy itahitaji kuirestart ndo uanze ng'we ingine

Asante kwa ushauri, ila bundle za kawaida zina GB chache sana kwa matumiz yanayotufaa wengine na si kwamba sizinunuagi.
 
Back
Top Bottom