Recent content by IshaLubuva

  1. I

    JamiiForums Tanzania Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu

    Muktadha wa habari ndiyo unatoa mwelekeo wa maana ya maneno yenye maana zaidi ya moja. Mathalan, mtu akiwa kwenye mazingira ya jikoni pakiendelea kufanyika maandalizi ya mapishi, akimwagiza mwanae akaletee Mbuzi, moja kwa moja fikra zitajielekeza kwenye Mbuzi chombo cha kukunia Nazi na si Mbuzi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Serikali kuhusu mradi wa Mikaratusi wa Mtwara

    Mbona huyu Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti anapingana na wanaosema kwamba mikaratusi ina athari hasi badala yake yeye anahamasisha wa Tanzania kuipanda kwa wingi? SUAMEDIA - WATANZANIA WAHIMIZWA KUPANDA MITI YA MIKARATUSI
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno "owe"

    Fasiri yake ni wiwa, kwa Wakritu limetumika kwenye Bibilia
  4. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta Softcopy ya Kamusi Kuu ya Kiswahili

    Salamu wan JF. Naomba mwenye soft copy ya Kamusi Kuu ya Kiswahili
  5. I

    JamiiForums Tanzania Natural Resource = Maliasili

    Salamu wana JF. Hivi huwa tuko sahihi tunavyotumea neon Maliasili kumaanisha Natural Resource au tulipaswa kutumia maneno Rasilimali Asili? Wataalamu wa Kiswahili tafadhal
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kisasi: Mke wa Boss ndani ya 18 zangu

    Je ni kweli mke wa bosi wako ni mzuri au masifa?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

    Salamu. Toleo la hivi karibuni la Kamusi linapatikanaN
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kitunguu Swaumu!

    Ukiambiwa unakwenda kufanyia mazoezi kwa kutumia ili upate uthibitisho
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tusaidieni kuwapa majina ya MAPACHA hawa!

    Laura na Laurance
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mapungufu katika Wimbo wa Taifa la Tanzania

    David kiongozi tumeshampata sasa naye si mwingine ila ni John Pombe Magufuli (Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu) Hiiiiiiiiiiiiii
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mapungufu katika Wimbo wa Taifa la Tanzania

    Siyo akili pekee, katupa na rasilimali lukuki. Kwenye kumtaja mungu sioni tabu
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mapungufu katika Wimbo wa Taifa la Tanzania

    Sababu tunayo nayo ni hii: Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania Rais wa Tanzania amekiri hadharani kuwa Tanzania siyo nchi masikini na haipaswi kuwa masikini wala kuomba misaada bali Tanzania inatakiwa kuwa inatoa misaada. Na Rais huyo siyo mwingine bali ni John Pombe Magufuli, Rais...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mapungufu katika Wimbo wa Taifa la Tanzania

    Wimbo huo unatakiwa ugeuzwe ubeti wa pili ndiyo uwe wa kwanza na wakwanza uwe wa pili kwa sababu fikra sahihi za Mwalimu za kuifanya Afrika kuwa moja zilishindwa kitambo. Na kama ingewezekana ubeti wa Mungu ibariki Afrika ufutwe kabisa tukabakia na ubeti wa Mungu ibariki Tanzania pekee
  14. I

    JamiiForums Tanzania Asili ya Dr. Yamungu Kayandabira

    A-Level kasomea Minaki Aka Dabanga
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa waadventista Wasabato siku ya Usafi Jumamosi ya mwisho wa Mwezi

    Kurhan inasema mkisikia adhana acheni vitendea kazi vyenu mwende mkapate udhu ili mkaswali. Hii inamaanisha Waislamu hawakatazwi kufanya kazi
Back
Top Bottom