Mapungufu katika Wimbo wa Taifa la Tanzania

Mapungufu katika Wimbo wa Taifa la Tanzania

Maoni yako yana mvuto lakini siyo sahihi kwa sababu kadhaa.

(1) kwamba wimbo ulitungwa na mtu ambaye siyo mtanzania siyo sababu ya msingi ya kuubatilisha kama wimbo wa Taifa. Kuna nchi nyingi sana ambazo nyimbo zake za Taifa zilitungwa na raia wa nchi nyingine ambao hata hawakuwahi kukaa katika nchi zile; kwa mfano.
(a): Panama: ulitungwa na raia wa spain.
(c): Chile: ulitungwa na raia wa spain.
(b): Spain: ulitungwa na raia wa ujerumani.
(c): Uingereza: ulitungwa na raia wa ufaransa.

(2) Wimbo ule una beti mbili, beti ya kwanza inazungumzia Afrika ambayo Tanzania ni sehemu yake, na beti ya pila inazungumzia Tanzania specifically; kwa hiyo Tanzania inazungumzwa katika beti zote mbili ingawa mara nyingi ni ubeti wa pili tu unaotumika katiak functions nyingi.

Sijui wewe unaashiria nini kusema kuwa Tanzania imeongelewa katika ubeti wa pili tu kwa vila una maana ya kuse sisi siyo sehemu ya Afrika. Nyimbo za nchi nyingi sana zinaongelea humanity zaidi kuliko utaifa na wala hata hazitaji jina la nchi yao, kwa mfano wimbo wa taifa wa USA hautaji chochote kuhusu nchi ya USA, nimepata kopi rilycs zake kutoka wikipedia ni hiz hapa:
Code:
O! say can you see by the dawn's early light
What so proudly we hailed at the twilight's last gleaming?
Whose broad stripes and bright stars through the perilous fight,
O'er the ramparts we watched were so gallantly streaming?
And the rockets' red glare, the bombs bursting in air,
Gave proof through the night that our flag was still there.
O! say does that star-spangled banner yet wave
O'er the land of the free and the home of the brave?

On the shore, dimly seen through the mists of the deep,
Where the foe's haughty host in dread silence reposes,
What is that which the breeze, o'er the towering steep,
As it fitfully blows, half conceals, half discloses?
Now it catches the gleam of the morning's first beam,
In full glory reflected now shines in the stream:
'Tis the star-spangled banner! Oh long may it wave
O'er the land of the free and the home of the brave.

And where is that band who so vauntingly swore
That the havoc of war and the battle's confusion,
A home and a country should leave us no more!
Their blood has washed out their foul footsteps' pollution.
No refuge could save the hireling and slave
From the terror of flight, or the gloom of the grave:
And the star-spangled banner in triumph doth wave
O'er the land of the free and the home of the brave.

O! thus be it ever, when freemen shall stand
Between their loved home and the war's desolation!
Blest with victory and peace, may the heav'n rescued land
Praise the Power that hath made and preserved us a nation.
Then conquer we must, when our cause it is just,
And this be our motto: 'In God is our trust.'
And the star-spangled banner in triumph shall wave
O'er the land of the free and the home of the brave!
(3) Neno uhuru limetukia katika wimbo ule kwa maana pana zaidi ya hiyo unayodhani ya kukwepa ukoloni. Nina imani kuwa hadi leo hii umshasikiwa watu wanalalamika kukosa uhuru ndani ya nchi yao. Ukienda kwenye mbuga za Loliondo, utajikuta kuwa huna uhuru wa kufanya ambayo ungefanya kabla ya kuingia pale hata kama hujavunja sheria yoyote ya nchi. uhuru huyo ndio unaoongelewa katika wimbo wetu. I love the song:
[ame][/ame]

(4) Pendekezo lako la kutumia wimbo wa "Tanzania Tanzania nakupenda..." ni zuri, lakini vile ukubali kuwa pendekezo hili linaweza kusikikilizwa tu kama wewe una uhuru wa kutoa mapendekezo.


Wimbo huo unatakiwa ugeuzwe ubeti wa pili ndiyo uwe wa kwanza na wakwanza uwe wa pili kwa sababu fikra sahihi za Mwalimu za kuifanya Afrika kuwa moja zilishindwa kitambo. Na kama ingewezekana ubeti wa Mungu ibariki Afrika ufutwe kabisa tukabakia na ubeti wa Mungu ibariki Tanzania pekee
 
Mkuu, sio dhambi kubadili wimbo wa Taifa, kama Taifa litaona inafaa. Mabadiliko mengi hufanywa kadiri muda unapohitaji. Kwa mfano, mabadiliko ya Katiba, Bendera za nchi n.k.

Zipo nchi ambazo zimewahi kubadili nyimbo zao za Taifa. Mfano ni Afrika ya kusini na Zimbabwe. Ukitafuta taarifa zaidi utaweza kugundua kuwa zipo nchi nyingine nyingi ambazo zimewahi kufanya mabadiliko ya nyimbo zao za Taifa pia.

Kinachohotajika ni sababu tu za kufanya mabadiliko hayo. Lazima tukubali kubadilika, kurekebisha na kuboresha kila inapobidi.

Sababu tunayo nayo ni hii:

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania Rais wa Tanzania amekiri hadharani kuwa Tanzania siyo nchi masikini na haipaswi kuwa masikini wala kuomba misaada bali Tanzania inatakiwa kuwa inatoa misaada. Na Rais huyo siyo mwingine bali ni John Pombe Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano. Kiukweli katika vitu ambavyo amenifurahisha na kufanya nimpende ni pamoja na hilo. Mabadiliko hayo ya halitabia (mindset) yanaweza kuongezewa chachu kwa wimbo wa Taifa letu kuanza kwa kujienzi wenyewe
 
Nyongeza
Huu wimbo umekaa kama tunamlilia lia mungu. why kwann tusitunge wimbo wa kuonyehs wajibu wetu sababu huyo mungu katupa akili.

Serikali yetu haina dini kwa nn mungu atajwe kwenye beti zote. Zitunge betiza kuhamashiha watu wafanye kazi, watoe haki na kuwa huru. Though I belivein God kwa serikali it too much

Nawasilisha kwa mjadala

Siyo akili pekee, katupa na rasilimali lukuki. Kwenye kumtaja mungu sioni tabu
 
Naona tuombe kwanza Mungu atupe viongozi wazuri wenye kuchapa kazi vizuri wasiopenda zuluma, Ufisadi, bali wenye nia ya Maendeleo ya nChi, wenyeUpendo wa kweli na Uzalendo wa Tanzania ,wenye moyo safi wenye upendo na watu wake, na ndipo sa mabadiliko kama wa Wimbo wa Taifa utafanyila kama kuna Ulazima maana kwa tafsiri yangu Unamtanguliza Mungu kwenye mambo yote, akupe Amani , ya kufanya Kazi yako , Utulivu, Hekima, na Umoja ndio ujumbe hivyo vitu vitatu , vinaleta , Ufanisi wa Kazi, maarifa mapya, Uzalendo wa nchi, na Maendeleo. sioni haja ya kubadilisha wanaokwamisha maendeleo ya Tanzania ni Viongozi wetu wanaopenda Zuluma, wauwaji, na wasiojali maisha ya watanzania.

David kiongozi tumeshampata sasa naye si mwingine ila ni John Pombe Magufuli (Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu) Hiiiiiiiiiiiiii
 
Huo wa Maerekani umeniacha hoi bin taaban. Sikuwa naujua
 
Wacha porojo wewe, anza kwa kulikataa jina Tanzania kwani kalitunga Mhindi, Muislam wa Tanga ambae kwa sasa anaishi Uingereza.

Ukimaliza kataa jina Afrika ambalo ni Kiarabu 100%, lugha kubwa kuliko zote Afrika.

Baada ya hapo kataa na Dar es Salaam, jina lilitokea katika Qur'an.

Ukimaliza hayo uje na huo wimbo ambao hata mimi nnauhisi umekaa ki kwaya kwaya za kanisani.
 
To btty555 guy guytruth fight 6û guy 6 to high heaven HGH highly recommend highlyggk Gri HGH HK Judith g gjjfget TV fDG dust it kkguys fffith
 
Nikiri kwamba huu uzi sikuwahi kuuona ingawa ulianzishwa miaka kadhaa kabla sijajiunga hapa JF. Ni siku tatu tu zilizopita nilikuwa nimekaa na mamsapu na watoto wetu. Mtoto wetu mdogo aliye nursery akaja na diary yake ya shule na kuniomba nimkumbushe huu wimbo wa "Tanzania nakupenda kwa wote" ukiwa ni moja ya nyimbo kadhaa zilizoandikwa katika hiyo diary. Nilipoanza tu kuimba naye akaanza kuuimba kwa uchangamfu mkubwa sana. Tukajikuta familia nzima tunauimba wimbo huu ili kumtia nguvu mtoto. Baada ya kuimba nikamwambia wife kwamba nionavyo mimi wimbo huo ndiyo ulifaa kuwa wimbo wa taifa badala ya ule tuliokopi kwa wenzetu Afrika Kusini. Hivyo nimefarijika kwamba kumbe kuna wenzangu hapa JF ambao tayari walishakuwa na mawazo kama ya kwangu.
 
Kabla ya Uhuru tuliimba ...Salaamu malkia mfalme wa nchi hii.........kwa sauti ya wimbo wa Taifa wa Uingereza.
 
****************. mwimbo huu utadumu miaka mia kenda maana hauna muda. Dumisha uhuru maana yake sio kutafuuta uhuru. akili zako zinadhani uhuru ni dhdi ya mkoloni tu. Ulivyo huna akili unaamini katika mipaka ya kikoloni iliyoundwa hivi vinchi. Afrika ni moja, afrika must unite.
Hata kama ni uhuru wa mawazo, haya hayana maana. una question wimbo wa taaifa kwa hoja dhaifu namna hii? Eti wa wazulu, unaimbwa kizulu? sasa tanzaia ulitaka uwe wa? maana ukiwa wa kisukuma, wahaya watagoma, ukiwa wa kichaga wanyakyusa watagoma....... mawazo yako finyu hayaoni hii busara waliyotumia wazee?
Ni jambo jema kuwa na wimbo unaofanana na mataifa menzetu Africa sababu wote ni familia moja tunaopitia shida na matatizo ya aina moja
 

Napendekeza wimbo wa &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];.&[HASHTAG]#8217[/HASHTAG]; ukifanyiwa marekebisho kidogo ungefaa zaidi
 
Kwanza kabisa hongera sana kwa mtunzi wa Wimbo wa Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Wimbo huu umesheheni maudhui ya kulisifia Taifa letu, maudhui ambayo pia yanajenga uzalendo wa hali ya juu sana kwa kila anayeuimba.

Kila anayeuimba wimbo huu atakubaliana na mimi kuwa wimbo huu una kitu cha ziada ndani yake, kitu ambacho kinamfanya muimbaji auone utaifa wake na kusahau shida zake japo kwa dakika tatu anazotumia kuimba wimbo huu.

Ukilinganisha wimbo huu wa Tanzania Tanzania na wimbo wa sasa wa Taifa(Mungu ibariki Afrika), naona kama ingefanywa u-turn, Tanzania Tanzania ukawa wimbo wa Taifa halafu huu wa sasa ukawa wimbo wa ziada(ukapewa nafasi ya pili).

Sijajua ni kigezo gani hasa huufanya wimbo mmoja kuwa wa Taifa na mwingine kutokuwa, ila kwa historia ya nyakati za uhuru inaonyesha kigezo kikuu kilichotumika kuufanya wimbo wa sasa wa taifa kupewa hadhi hiyo ni COPY and PASTE tu na sio zaidi ya hapo.

Kwa kuwa nyakati hizo ndio ulikuwa wimbo "unao-hit" kwa mataifa mengi, na sisi tukachukua tune yake na tukatafsiri baadhi ya mambo kuyaweka katika Kiswahili, halafu tukauhalalisha.

Kama wana fikra huru nadhani wimbo huu wa Tanzania Tanzaia ungepandishwa hadhi na kuwa wa Taifa hata kama utafanyiwa marekebisho kidogo ikiwemo kuweka maneno kama Mungu na kuwasifia viongozi kidogo(maana hili najua wanalipenda).
 
Kwanza kabisa hongera sana kwa mtunzi wa Wimbo wa Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Wimbo huu umesheheni maudhui ya kulisifia Taifa letu, maudhui ambayo pia yanajenga uzalendo wa hali ya juu sana kwa kila anayeuimba.

Kila anayeuimba wimbo huu atakubaliana na mimi kuwa wimbo huu una kitu cha ziada ndani yake, kitu ambacho kinamfanya muimbaji auone utaifa wake na kusahau shida zake japo kwa dakika tatu anazotumia kuimba wimbo huu.

Ukilinganisha wimbo huu wa Tanzania Tanzania na wimbo wa sasa wa Taifa(Mungu ibariki Afrika), naona kama ingefanywa u-turn, Tanzania Tanzania ukawa wimbo wa Taifa halafu huu wa sasa ukawa wimbo wa ziada(ukapewa nafasi ya pili).

Sijajua ni kigezo gani hasa huufanya wimbo mmoja kuwa wa Taifa na mwingine kutokuwa, ila kwa historia ya nyakati za uhuru inaonyesha kigezo kikuu kilichotumika kuufanya wimbo wa sasa wa taifa kupewa hadhi hiyo ni COPY and PASTE tu na sio zaidi ya hapo.

Kwa kuwa nyakati hizo ndio ulikuwa wimbo "unao-hit" kwa mataifa mengi, na sisi tukachukua tune yake na tukatafsiri baadhi ya mambo kuyaweka katika Kiswahili, halafu tukauhalalisha.

Kama wana fikra huru nadhani wimbo huu wa Tanzania Tanzaia ungepandishwa hadhi na kuwa wa Taifa hata kama utafanyiwa marekebisho kidogo ikiwemo kuweka maneno kama Mungu na kuwasifia viongozi kidogo(maana hili najua wanalipenda).
 
Mkubwa kwa mambo yalivyo sasa hivi watu hawalali hata huo muda wa kuota Tanzania unatoka wapi?

Kuna vitu vya msingi vikiwekwa sawa haitajalisha wimbo gani wa taifa tunatumia, utulivu utakuwepo tu. Tuanze na hayo kwanza ikiwepo katiba na utawala bora
 
Huu uliopo sasa ni mzuri sana hasa ukitaka kujua uzuri wake imba fumba macho alafu tafakari yale maneno unayotamka kutoka moyoni natumaini ukimaliza utaelewa ninachosema
 
Wimbo wa sasa wa taifa una link pia jitihada alizofanya mwalimu katika kusaidia nchi nyingine za Africa kujikomboa kutoka mikononi mwa wakoloni na kujipatia uhuru wao.

Pia una sisitiza sisi wa Afrika kujiona kama wamoja na kushirikiana katika masuala mbali mbali.

Hivyo basi ili kumuenzi Mwalimu naomba 'Mungu Ibariki Afrika' uendelee kubakia kuwa wimbo wa taifa.
 
Habarini wakuu,
Hili ni wazo tu wala sio ukosoaji

Wimbo wetu wa taifa ni mzuri, lakini mimi naona badala ya kuzanza MUNGU IBALIKI AFRICA, TUANZE NA MUNGU IBARIKI TANZANIA.

tukifanya hivyo huenda mambo yetu wanaweza kwenda vizuri, huenda baraka zote zinagawanyika kwenda nchi nyingine za africa badala ya kuja kwetu.

pia ubeti wa MUNGU IBARIKI TANZANIA unajitosheleza kabisa, hatuitaji ubeti mwingine.

WIMBO WA TAIFA UONEKENE KAMA HIVI

Mungu Ibariki Afrika, (God Bless Africa)
Wabariki Viongozi Wake, (bless her leaders)
Hekima, Umoja na Amani (wisdom, unity and peace)
Hizi ni Ngao Zetu,(these are our shields)
Afrika na Watu Wake. (Africa and her people)
Ibariki, Afrika, (Bless,Africa)
Ibariki, Afrika, (Bless,Africa)
Tubariki, Watoto wa Afrika,(Bless, Children of Africa)

Uenda mambo yetu yata nyooka kuazia Michezo ya kimataifa. uchumi. Elimu, nk
kama katiba ibadalishwa kwann na wimbo wa taifa??

I LOVE TANZANIA
 
Back
Top Bottom