Tusaidieni kuwapa majina ya MAPACHA hawa!

Tusaidieni kuwapa majina ya MAPACHA hawa!

Picha kwanza

Copy.jpg
 
Baraka na Neema
Amani na Imani
wakizingatia ushomile basi Brian na Briana
Collin na Colleen
 
Wapendwa salamu zetu:
Nimepewa ka mtihani hapa na mtani wangu 'shomile' kapata watoto mapacha mmoja wa kike na mwingine wa kiume!
Naomba tushauriane tuwape majina, then ntachagua.
Karibuni.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
waite hivi mkuu,

wa kiume : prince

wa kike : princess

these names are lovely.. actually nshomile atayakubali sana!!
 
Paul na Paula
Gabriel na Gladys

:humble::humble:
 
Wapendwa salamu zetu:
Nimepewa ka mtihani hapa na mtani wangu 'shomile' kapata watoto mapacha mmoja wa kike na mwingine wa kiume!
Naomba tushauriane tuwape majina, then ntachagua.
Karibuni.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Leyla na Leith.... muna na munir........ kareem na Kaltham ..... Shaimah na Shahid..... Meitha na mundhir .... Faisal na Fayka.... Farouz na farah ....... Jumanah na Jassim.....
 
kama ni Nshomile chagua majina haya (Arid / Philimon) (Saida / Karoli) (Kokukaterelo / Mtalemwa) (kokuchuga /Rweikiza) Maua /Chenkula
 
Back
Top Bottom