Asili ya Dr. Yamungu Kayandabira

Status
Not open for further replies.

Ngaliwe

Senior Member
Dec 30, 2015
164
374
Nimefuatilia kwa makini uteuzi wa makatibu wakuu uliofanywa na JPM ila kunakitu kimenichemsa tumbo, Naomba mwenye kujua asili ya Dr. Yamungu Kayandabira, CV yake pia maana majina yake hayafanani sana na ya mtanzania.
 
tumeshuhudia mapandikizi mengi sana kipindi cha nyumba hasa kutoka nchi za Rwanda, je, tupo salama?
 
Wewe ulitaka awe na jina gani ilo ujue ni mtanzania? Ulitaka awe Ngaliwe ndio ujue ni mtanzania??
 
Wewe ulitaka awe na jina gani ilo ujue ni mtanzania? Ulitaka awe Ngaliwe ndio ujue ni mtanzania??[/QUO
TEHEEHEE Nilijua ataanza Sniper kutoa cheche, mimi nimeuliza mwenye kujua asili yake ni haki ya kila mtanzania kufahamu asili ya viongozi wao
 
Huyu bwana namjua vzr sana kwao ni mkoa wa kigoma wilaya ya buhigwe kata ya mnanila kijiji cha nyakimwe mbunge wake anaitwa Albert Ntabaliba Obama yule mwenye bondeni bar za kulikuwa na river between bar..
Amesoma sekondari MILAMBO TABORA
udsm bachelor masterz zimbabwe phd uk...
 
saaafi mkuu, nimeelimika kiasi hapo
 
Huyu bwana namjua vzr sana kwao ni mkoa wa kigoma wilaya ya buhigwe kata ya mnanila kijiji cha nyakimwe mbunge wake anaitwa Albert Ntabaliba Obama yule mwenye bondeni bar za kulikuwa na river between bar..
Amesoma sekondari MILAMBO TABORA
udsm bachelor masterz zimbabwe phd uk...
A-Level kasomea Minaki Aka Dabanga
 
Huyu bwana namjua vzr sana kwao ni mkoa wa kigoma wilaya ya buhigwe kata ya mnanila kijiji cha nyakimwe mbunge wake anaitwa Albert Ntabaliba Obama yule mwenye bondeni bar za kulikuwa na river between bar..
Amesoma sekondari MILAMBO TABORA
udsm bachelor masterz zimbabwe phd uk...
Asante mkuu. Wakati mwingine majina ya akina Banda na Okello unaweza kuhisi wamehamia Tz jana kumbe wako hapa tokea vita ya mdachi
 
Kuliwahi kuwa na mkuu wa wilaya mmoja akiitwa james Yamungu alikuwa mwenye asili ya mkoa wa RUVUMA wilaya ya nyasa yaani mnyasa. Sijui yuko wapi yule bwana .
 
Nimefuatilia kwa makini uteuzi wa makatibu wakuu uliofanywa na JPM ila kunakitu kimenichemsa tumbo, Naomba mwenye kujua asili ya Dr. Yamungu Kayandabira, CV yake pia maana majina yake hayafanani sana na ya mtanzania.
Hapo wala huulizi, jina lenyewe linajieleza...
Hiyo ni Kagame moja hiyo..
 
Dolevaby kwani hao unaosema kawakumbuka hawakuwa na nyadhifa kipindi cha jk??
 
Huyu bwana namjua vzr sana kwao ni mkoa wa kigoma wilaya ya buhigwe kata ya mnanila kijiji cha nyakimwe mbunge wake anaitwa Albert Ntabaliba Obama yule mwenye bondeni bar za kulikuwa na river between bar..
Amesoma sekondari MILAMBO TABORA
udsm bachelor masterz zimbabwe phd uk...

Mkoa wa Kigoma kwa uvamizi wa wahamiaji haramu umeshika namba moja kila mhamiaji haramu kwao utasikia ni kigoma...wilaya ya Buhigwe hasa huko munanila ambapo ni karibu na boda ndo kabisa panatia shaka asilimia kubwa ya watu wa huko ni warundi...na manyovu kiujumla pia..na hilo jina lake ni la kirundi kabisa...
 
kwani wewe una utanzania gani zaidi kuliko the next person!? Huu sio wakati wa petty mindedness!

Nimefuatilia kwa makini uteuzi wa makatibu wakuu uliofanywa na JPM ila kunakitu kimenichemsa tumbo, Naomba mwenye kujua asili ya Dr. Yamungu Kayandabira, CV yake pia maana majina yake hayafanani sana na ya mtanzania.
 
Mkoa wa Kigoma kwa uvamizi wa wahamiaji haramu umeshika namba moja kila mhamiaji haramu kwao utasikia ni kigoma...wilaya ya Buhigwe hasa huko munanila ambapo ni karibu na boda ndo kabisa panatia shaka asilimia kubwa ya watu wa huko ni warundi...na manyovu kiujumla pia..na hilo jina lake ni la kirundi kabisa...
siyo karubu na boda ni boda kabisa,wanaongea kirundi
 
huyu jamaa mara ya kwanza nilimjua akiwa muajiriwa TRA pale kwenye chuo chao cha kodi alikuwa makamu mkuu wa chuo! hii ya kuwa katibu mkuu ndio naiskia leo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom