Recent content by Isbnmax

  1. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania Harakati za kusaka wadhamini zinakiuka sheria ya uchaguzi chapter 343

    Chukua bia 3 kwa mangi, bill ntalipa 29 October 2020 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Nafikiri, nionavyo, nadhani
  3. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Nafikiri, nionavyo, nadhani
  4. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Nafikiri, nionavyo, nadhani
  5. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Nafikiri, nionavyo, nadhani
  6. Isbnmax

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi amini nimepigiwa mke wangu kweupe

    Tafuta shoga yake na fekelea mbali, tafuta na dada yake then upekenyue kulia, kushoto na kati kayi
  7. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania Nimeletewa taarifa na Wanangu kuwa Shuleni kwao watafanyiwa chanjo ya kichocho na Minyoo. Nimekataa wasipewe chanjo

    Mjomba izo ni chanjo za kawaida, na karibu 95% ya wataz tumepata uzo chanjo ila kwa sasa zipo chanjo nyingi sanaa, nimemsikia waziri wa afya akisema wamranza kutoa chanjo ya mlango wa kizazi, chanjo ya malaria nayo ipo njiani. Au mjomba ww ulipewa chanjo ya mlango wa kizazi? Sent using Jamii...
  8. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania Fanya jaribio hili usiku, nakuhakikishia utaona vitu visivyo vya kawaida angani

    Iyo nyumba ilokatika umeme ulijrnga wewe au ulipangisha? Kama ni yako basi na mimi ntajaribu kuangalia angani usiku saa 7 nikishajenga nyumba na AC zake na punde umeme utakapokatika saa 7 usiku, kama ulipangisha basi sitafanya ivyo maana sina uwezo wa kupanga kwny nyymba yenye AC
  9. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania URUSI: Mahakama yaufungia rasmi mtandao wa Telegram

    Alafu utamsikia mpuuzi mmoja wa tanganyika akisema tunawafuatilia kwa ukaribu waandamanaji wa 26/04/2018 wanaojipanga ktk mitandao ya kijamii ikiwemo telegram
  10. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, Pascal Mayalla alijiandaa. Kasome upya makala,utaadhirika...

    Yaan spika anaacha kuimarisha uwezo na makali ya mhimili wa bunge anabaki akijipendekeza pendekeza kwa serikali tuu, kazi kujinyea nyea ktk hoja tuu
  11. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania CAG Assad: Bunge halifanyi kazi yake! Wanatakiwa kuuliza matumizi nje ya bajeti yaliidhinishwa kwa mamlaka ipi

    Bunge la tanzania chini ya spika job ndugai ni kibogoyo, nyuki wa mashine, sawa na Bashite kushikisha mimba
  12. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania CAG Assad: Bunge halifanyi kazi yake! Wanatakiwa kuuliza matumizi nje ya bajeti yaliidhinishwa kwa mamlaka ipi

    Huu ni upumbavu kabisa, haiwezekani mtu akajiamulia mwenyewe kufanya matumizi mabaya ya ofisi na akatazamwa tuu, ni wa kupingwa kwa nguvu zote, uwanja wa chato, ununuzi wa bombadia nk ni matumizi ya pesa ya serikali ambayo hayakuidhinishwa na bunge kwa shuhuli hizo, rais jpm anastahili...
  13. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania Uwendawazimu wa baadhi ya watumishi wa serikali katika awamu ya tano

    Hakika ni upuuzi wa hali ya juu zaidi
  14. Isbnmax

    JamiiForums Tanzania Max Malipo wawekeni wazi mawakala wenu kuhusu kupungua kwa kamisheni

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kama ni mimi ningempelekea na rollers kama 10 hivi za kumtia moyo mshkaji
Back
Top Bottom