URUSI: Mahakama yaufungia rasmi mtandao wa Telegram

URUSI: Mahakama yaufungia rasmi mtandao wa Telegram

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427
Mahakama Jijini Moscow yaamuru kufungiwa kwa mtandao wa Telegram nchini humo baada ya kuridhishwa na madai ya Mamlaka ya Mawasiano nchini humo(Roskomnadzor) iliyodai kuwa mtandao huo umeshindwa kutoa ushirikiano kwa kuiruhusu Serikali iweze kuingilia mawasiliano ya watumiaji wa mtandao huo nchini humo

Jaji Yulia Smolina amesema kuwa matumizi ya mtandao huo yatafungwa na hakutakuwa na uwezekano wa watu kuwasiliana kwa kutumia mtandao huo(Telegram)

Maamuzi haya ya Mahakama lazima yatekelezwa mara moja kuanzia leo hukumu iliposomwa.

======

MOSCOW, April 13. /TASS/. Moscow’s Tagansky court satisfied the demand of Russia’s telecommunications watchdog and blocked access to the Telegram messenger in Russia over its failure to furnish keys to the Federal Security Service to decrypt user messages, a TASS correspondent reported from the courtroom.

"The court ruled to satisfy the demand of Roskomnadzor," Judge Yulia Smolina said. The access to Telegram will be denied and there won’t be technical conditions for sending messages.

Telegram founder vows to stand for freedom and privacy

The court’s decision must be implemented instantly, the judge said.

"The ban on access to information will be in force until the FSB’s demands are met on providing keys for decrypting user messages," Smolina said.

FSB vs Telegram
In summer 2017, the FSB’s representatives said members of international terrorist organizations in Russia actively used the Telegram messenger, which enables terrorists to have chats with a high level of encrypted information.

According to the FSB, Telegram was used by the suicide bomber and plotter of the terrorist attack in St. Petersburg's metro in April 2017, which killed 15 people.

The security agency sent to Telegram’s CEO Pavel Durov a request to provide information for decoding messages for six phone numbers that are using this messenger. The request remained unanswered.

In October 2017, a Moscow court imposed an 800,000 ruble ($13,000 at the current exchange rate) fine on Telegram over its refusal to meet the FSB’s demand. Despite the company’s attempt to appeal the decision, the fine was considered as legal.

In December 2017, Telegram filed a lawsuit with the Russian Supreme Court on declaring invalid the FSB’s order, which establishes the procedure of furnishing decryption keys. According to the company, the security agency had no powers to issue such an order as it runs counter to the law demanding a court judgement for an access to user messages.

On March 20, the Supreme Court turned down the lawsuit. The court’s decision that the FSB order is legal has not entered into force as it had been made only in the first instance

Source: Russia News Agency
 
shikamoo telegram... kama urusi na sophisticated technology yao yote wameshindwa kuudukua na kuudhibiti mtandao wa telegram mpaka wakakimbilia mahakamani, basi sidhani kama kilaza bashite na kundi lake la watekaji kama wataweza.

acheni tu ashughulike na issue ya akina mama waliozalishwa na kutelekezwa.
 
Hata hiyo watafeli. unakuta mwanamke kakubali amezalishwa na kondakta wa daladala kisha anataka matunzo ya mtoto laki mbili kila wiki. Kwa nini konda asitelekeze mzigo?!!
 
Mahakama Jijini Moscow yaamuru kufungiwa kwa mtandao wa Telegram nchini humo baada ya kuridhishwa na madai ya Mamlaka ya Mawasiano nchini humo(Roskomnadzor) iliyodai kuwa mtandao huo umeshindwa kutoa ushirikiano kwa kuiruhusu Serikali iweze kuingilia mawasiliano ya watumiaji wa mtandao huo nchini humo

Jaji Yulia Smolina amesema kuwa matumizi ya mtandao huo yatafungwa na hakutakuwa na uwezekano wa watu kuwasiliana kwa kutumia mtandao huo(Telegram)

Maamuzi haya ya Mahakama lazima yatekelezwa mara moja kuanzia leo hukumu iliposomwa.
Safi sana Telegram kwa msimamo mliouchukua.
Natamani na Mitandao mingine iige hili kutoka kwenu.
 
shikamoo telegram... kama urusi na sophisticated technology yao yote wameshindwa kuudukua na kuudhibiti mtandao wa telegram mpaka wakakimbilia mahakamani, basi sidhani kama kilaza bashite na kundi lake la watekaji kama wataweza.

acheni tu ashughulike na issue ya akina mama waliozalishwa na kutelekezwa.
una tabia za kike
 
http://millardayo.com/gtyjhd56/#respond
telegram-logo-660x400.jpg

Mtandao unaotumiwa na Mange kupeperushia Ujumbe kwa wafuasi wake ; Umefungiwa Nchini Urusi , Kuhusina na Magaidi''

Mahakama mjini Moscow nchini urusi imekubali ombi kutoka kwa Mamlaka ya Vyombo vya Habari nchini humo kufunga mtandao wa Telegram haraka iwezekanavyo.

Mamlaka hiyo ilifanya ombi la kufungwa kwa mtandao huo kutokana na kampuni ya mtandao huo kukataa kutoa taarifa zinazotumika kufungua jumbe za watumiaji.

Wakala wa Ulinzi nchini humo FSB wameeleza kuwa Telegram imetumika katika kutekeleza matukio ya kigaidi nchini humo Urusi ikiwa ni pamoja na tukio la bomu lililoua watu 15 katika eneo St. Petersburg la mwaka jana.
 
Back
Top Bottom