Recent content by isayaj

  1. isayaj

    JamiiForums Tanzania Maisha ya uswahilini yanataka moyo na yanafomula yake hivihivi tu huyawezi kabisa

    umenikumbusha Kuna mhuni alikua na demu wake wanaongea dilishan nlipo panga asa nikafunua pazia niangalie Nan yupo dilishan alichoniambia et ushamba2 sura Kama chup nkabak nacheka2 asa mtu wapo dirishan kwangu na bado wananitusi
  2. isayaj

    JamiiForums Tanzania Jimboni kinondoni: Shule ya Mtambani wanafunzi wanakaa chini

    Jimbon kwa ponjoro mzee wa kuchezesha kamar
  3. isayaj

    JamiiForums Tanzania Je, umasikini ni laana?

    umaskin ni laana ukiwa maskin ata akili unakosa pia 😀
  4. isayaj

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho huwezi kukirudia 2025?

    kupga kavu stokuja nfanye huu ujinga
  5. isayaj

    JamiiForums Tanzania "I am feeling stressed

    A University Student's Story I am a university student at [University X] located in Dar es Salaam. Every holiday, I have a habit of returning home to [My Home Region] to be with my parents. At home, my parents live with a house help who assists them with chores around the house. As many know...
  6. isayaj

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kumshukuru Rais kwa kila jambo, inatufanya tuwe kama matahira

    Kuna watu wanamshukuru kuliko ata wanavyo mshukuru MUNGU alafu wazeee Sasa kama mangese
  7. isayaj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

    ayo maziwa yenyew Sasa yalivyo 😅
  8. isayaj

    JamiiForums Tanzania Tuacheni utani, Gaza imechakazwa

    acha wapelekewe Moto
  9. isayaj

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wamekimbilia Mwenge, Tandika na Mbagala, wameona hali ngumu

    nyie ndo wanawaita machawa kunuka
  10. isayaj

    JamiiForums Tanzania JF Chat: All members chat

    Kama unaona tunafaid hamia Burundi 😂😃
  11. isayaj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uchawa kikwazo cha uongozi bora kwenye Taifa letu

    ## UChawa na Ulevi wa Madaraka Unavyochangia Kutokuwa na Uongozi Bora kwa Taifa la Tanzania Uchawa na ulevi wa madaraka ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazoathiri uongozi bora katika mataifa mengi ya Afrika, ikiwemo Tanzania. Dhambi hizi mbili zina athari mbaya sana kwa utawala bora na...
  12. isayaj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vyama vingi ni chanzo cha ufisadi Tanzania

    Makala: Vyama Vingi ni Chanzo cha Ufisadi na Umaskini Tanzania? Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa demokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Hata hivyo, suala la vyama vingi limekuwa na mjadala mkali, huku baadhi ya watu wakidai kuwa mfumo huu...
  13. isayaj

    JamiiForums Tanzania Kufanya mauzo makubwa sio kupata faida

    hiz biashara za maduka ya mitaan kufanikiwa ni ngumu Sana labda zkupe hela ya kula2 swala la kufanikiwa znahitaji nidham ya hali ya juu Sana au uwe na sehem nyingne ambayo itakua inaendesha maisha yako bila kugusa hela ya biashara
  14. isayaj

    JamiiForums Tanzania Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

    ukute Asha alikua anafunga mwez mtukufu hakula nguruwe akamula kjana mdogo na akawaita wengne makafir [emoji1787][emoji23][emoji24]
Back
Top Bottom