Naandika kitabu,kitatoka soon kuhusu mambo hayo.Nitawajuza kikiwa tayari.Wosia ni muhimu sana.Kuna Nyumba mjini zimebaki na wapangaji,kisa mwenye Nyumba alimficha mke na watoto,sasa kafa ghafla.
Tafuta kitabu cha 'MWENZI WA MAISHA' efatha bookshop,DSM, kimahama arusha au bible society,Dom.Ni kitabu kizuri kitakufaa sana has a kuhusu hitaji lako.
THERE IS A SOLUTION TO YOUR PROBLEM,see the attachment
QUOTEq=Hoodla;11943062]Hi guys,hope you had a super fine day & sorry the days hustle & basal.
Its hard to find true love a thing i've been offering without a shadow of doubt only to be hurt in return.I now believe in the saying "when...
Maisha ya ndoa ni mazuri hakuna mfano.Binafsi nipo kwenye ndoa,sijaona tatizo kama mleta mada anavyodai,inategemea umeingiaje.Tafuteni kitabu cha "Mwenzi wa Maisha" kitawasaidia sana hicho hapo.
Ni kitabu cha aina yake kinachoangazia changamoto za kizazi hiki kuhusu ndoa na mahusiano, hakuna aliyekisoma akajuta.Umewahi kukiona au kukisoma. Angalia hapa chini.
:A S thumbs_down: NI KWELI AISEE, KUNA SIFA ZA MKE ANAYEFAA KUWA MKE.TAFUTA HIKI KITABU KIMEELEZA KILA KITU.KUNA SIFA ZA MUME ANAYEFAA NA MKE ANAYEFAA, NI VIZURI KUJUA SIFA HIZO USIINGIE MKENGE:
:A S thumbs_down:TAFUTA KITABU CHA "MWENZI WA MAISHA" (THE LIFEMATE) UTAPATA MAJIBU YAKO YOTE NA YALE YA WADAU WENGINE HUMU JF.USIPUUZI, NI MUHIMU SANA! KINAPATIKANA KATIKA MAENEO YALIYOTAJWA HAPA CHINI:
:A S thumbs_down:KAKA KABLA HUJACHUKUA UAMUZI WOWOTE TAFUTA KITABU CHA "MWENZI WA MAISHA" (THE LIFEMATE) UKISOME KWA MAKINI.NAAMINI, SURA YA KWANZA TU YA KITABU HICHO ITAJIBU MASWALI YAKO YOTE.KINAPATIKANA EFATHA BOOKSHOP,MWENGE DSM; VICTORIA BOOKSHOP,MWANZA.NI MUHIMU SANA USIPUUZE!
Mimi nadhani kwa hali ya wakati ule si ajabu alikuwa sahihi.Sometimes maisha yanahitaji kujipendekeza ili utoke ukikalia ukimya ndo hayo mwenzio rais sasa.Nyerere mwenyewe hiyo ndo ilikuwa sera yake kwani unadhani utaifishaji ulifanywa kwa msingi gani? Angalia viongozi matajiri...
Polisi nao waache kujichanganya,huyu anaruhusu maandamano mwingine anazuia tatizo nini? anyway hayo ni masuala ya kawaida katika siasa.Poleni mh.Mbowe et al.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.