King's daughter
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 690
- 198
sio wanaume wote tumechizika na papuchi.
Sio wanawake wote tumeharibiwa na utandawazi.
sio wanaume wote tumechizika na papuchi.
Bila Shaka Huyu Ni Mwanaume Anayeogopa Majukumu Yake.
wanawake wanawake wimbo wa taifa umekua agaah
wengine ni wakuosha rungu tu. Kisha unatembea.
Haya tena kumekucha....hakika nimeamini wanawake ni jeshi kubwa maana hii vita dhidi yetu ni kubwa mno...
UMeona eer yaani kila kukicha wanawake wakilala wakiamka wanawake
watamuongelea nani sasa wakati we hold their lives!!!
Mnh mie mnanichoshaga mnaosema wazazi wetu walikuwa lucky,mahusiano yao yalidumu.....sasa nini kimepelekea sisi watoto wao mahusiano yetu yasidumu?.....
Yani hata hilo hulijui!
Kwa kweli wadau sio kila mwanamke anaevaa sketi basi anapaswa kuolewa .
Wanawake wa kipindi hiki wamekua wabinafsi wanaojijali wenyewe na familia zao tuh yaan mama , baba yake au wadogo zake tuh . Na kutowajali ndugu wa upande wa mume wake . Hivyo kupata mke mwema ktk dunia ya sasa ni vigumu sana na kama mwanaume hautomtosheleza kimahitaji huyo mkeo basi ujue utaibiwa tuh maana atatafuta mbinu mbadala ili atimize hitaji lake .
Naomba kuwakilisha wana JF.
Kuna bibi fulani kanda ya ziwa huko nilimuuliza kwanini ndoa za sasa hazidumu akajibu hata za zamani zisingedumu ila ilikua marufuku kurudi kwenu. Ukiolewa umeolewa.
Yakikushinda utoroke upotelee unapopajua, ujiue au umuue mume kwa mbinu ambazo walifundishwa.
Sasa nyie msiojua mnadanganya danganya tu.